Wenye nacho hata kwa kukwapua tuombe waendelee kuwa nacho vinginevyo sisi tusionacho hatuweza kulisaidia taifa.
Baada ya sisi tusiokuwa nacho tukilipwa ujira mbuzi na wenye nacho ndio tunapata uwezo wa kuilipa serikali kodi mbalimbali.
Serikali hainunui mazao ya shambani wala ya wanyama na uvuvi, hivyo watu binafsi wenye nacho ndo wanunuzi wakubwa wa mazao nchini. Nimelima mahindi na mbaazi lakini nimekosa soko