Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 11,773 Reaction score 27,191 Jan 25, 2025 #1 Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,942 Reaction score 22,250 Jan 25, 2025 #2 Puchu, nimesave pesa nyingi sana ambayo ingebidi kuihonga kwa starehe ya muda mchache.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,256 Jan 25, 2025 #3 Kupata mchumba kutoka kwenye social media.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,295 Reaction score 60,915 Jan 25, 2025 #4 Nasoma comments
Mr passion JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 211 Reaction score 309 Jan 25, 2025 #5 KUISHI BILA MALUMBANO NA MTU YOYOTE JAPOKUA UNAONEKA FALA TU
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 4,539 Reaction score 10,372 Jan 25, 2025 #6 Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation
Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,692 Reaction score 6,369 Jan 25, 2025 #7 Kuvuta Jani Korofi Sijutii Kabisa
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,309 Reaction score 2,849 Jan 25, 2025 #8 Theresa49 said: Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho? Click to expand... Kiburi
Theresa49 said: Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho? Click to expand... Kiburi
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Jan 25, 2025 #9 ephen_ said: Kupata mchumba kutoka kwenye social media. Click to expand... Hongera sana rafiki
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Jan 25, 2025 #10 Bolotoba said: Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation Click to expand... Duh ngumu kumeza hii
Bolotoba said: Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation Click to expand... Duh ngumu kumeza hii
Manigga Qwame Member Joined Jul 10, 2021 Posts 89 Reaction score 158 Jan 25, 2025 #11 Palmoni said: Kuvuta Jani Korofi Sijutii Kabisa Click to expand... Mara nne Hadi tano kwa mwezi🥱.
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 4,539 Reaction score 10,372 Jan 25, 2025 #12 Antonio de Guzman said: Duh ngumu kumeza hii Click to expand... Niko mwnyw watoto wako shule Sina mke
Antonio de Guzman said: Duh ngumu kumeza hii Click to expand... Niko mwnyw watoto wako shule Sina mke
Mowwo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 1,725 Reaction score 2,540 Jan 25, 2025 #13 Theresa49 said: Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho? Click to expand... Kuuza matunda kwenye junction Kuuza nguo za mitumba za kike
Theresa49 said: Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho? Click to expand... Kuuza matunda kwenye junction Kuuza nguo za mitumba za kike
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jan 25, 2025 #14 Ni swala pana
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,002 Reaction score 72,284 Jan 26, 2025 #15 Bolotoba said: Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation Click to expand... Imekusaidia nin?
Bolotoba said: Kuacha Kula milo ya gharama kama nyama kuku na samaki, na kuweka bajeti ya Mboga za majani, dengu, mwaka mzima ili nisave no soda no vacation Click to expand... Imekusaidia nin?
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,361 Reaction score 91,912 Jan 26, 2025 #16 Ngurukia said: Puchu, nimesave pesa nyingi sana ambayo ingebidi kuihonga kwa starehe ya muda mchache. Click to expand... Hongera sana
Ngurukia said: Puchu, nimesave pesa nyingi sana ambayo ingebidi kuihonga kwa starehe ya muda mchache. Click to expand... Hongera sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,102 Reaction score 184,843 Jan 26, 2025 #17 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,313 Reaction score 9,698 Jan 26, 2025 #18 Smoking Wee^ inaongeza Focus.