Aibu kubwa Sana hii viongozi wanawaza shibe yao tuSelikali yetu ina Makandokando mengi sana Urasimu, Ufisadi nk.
CAF wametuvua nguo peupe.
Bilioni 31 kwa miaka 2 hakuna kilicho fanyika.
AIBU KWA WATANGANYIKA.
RIP.
JK NYERERE.
MAGUFURI.
SOKOINE.
MKAPA.
walau wewe una maakili wa kuwalaumu kwenye swala la uwanja ni serikali na si mtu mwingine wowote,wizara iliyopewa hayo mabilioni ya kurekebesha uwanja ni vilaza wa kiwango cha juu sana...tangu mechi ya stelle nilishaona dalili mbaya juu ya matumizi ya huu uwanja kwenye michuano hiiWala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa warekebishe pitch. Matokeo watanzania maelfu kwa maelfu wamenyimwa fursa ya dhahabu ya kushuhudia tukio la kihistoria, kati yao wachache kwa idadi ya 15,000 ndio wataweza kusafiri. Tofauti ya mashabiki zaidi ya 45,000+, fursa ambayo pia wafanyabiashara mbalimbali kuanzia mama ntilie, migahawa, mahoteli, lodge, gesti, usafiri bodaboda bajaji teksi za mtandao kama Uber n.k wameikosa
Wala sio ishu ya makamu wa CAF kua kiongozi wa Berkane, wao wameona fursa wameitumia.
Sisi Wanasimba twendeni huko Zanzibar tukiwa na mashabiki wachache na tutakaowakuta huko Zanzibar kwa uchache wao wakiwa nje ya uwanja mana watakoingia ni 15,000 hapo ni pamoja na viongozi wa CAF delegates mbalimbali ..
Twendeni tukapambane, imeandikwa Simba atachukua ubingwa, basi itakua, imeandikwa tutabaki mshindi wa pili na kuambulia mabilioni na medali ya CAF, itakua..maisha mengine yaendelee. Kwa hapo tulipofikia tunamshukuru Mungu. Wakati mwingine lazima watu Fulani wajifunze kwa uchungu na maumivu makubwa sababu ni uzembe ufisadi na kutowajibika.
Wakati mwingine nawaza magufuli angekuepo Nina uhakika kwa hulka ya jpm huu uwanja ungekua kama wa Amahoro rwanda na fainali ingechezwa dar es salaam..Selikali yetu ina Makandokando mengi sana Urasimu, Ufisadi nk.
CAF wametuvua nguo peupe.
Bilioni 31 kwa miaka 2 hakuna kilicho fanyika.
AIBU KWA WATANGANYIKA.
RIP.
JK NYERERE.
MAGUFURI.
SOKOINE.
MKAPA.
Katika waliokwisha kununua tiketi ni wachache sana wenye uwezo au watakaokuwa na nia au hamu ya kwenda Zanzibar. Linabaki swali, utajuaje yupi anakwenda na yupi haendi? Utaanza kuuza tiketi upya? Utaendelea kuuza tiketi wakati idadi iliyokwishauzwa inazidi uwezo wa uwanja?Wala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa warekebishe pitch. Matokeo watanzania maelfu kwa maelfu wamenyimwa fursa ya dhahabu ya kushuhudia tukio la kihistoria, kati yao wachache kwa idadi ya 15,000 ndio wataweza kusafiri. Tofauti ya mashabiki zaidi ya 45,000+, fursa ambayo pia wafanyabiashara mbalimbali kuanzia mama ntilie, migahawa, mahoteli, lodge, gesti, usafiri bodaboda bajaji teksi za mtandao kama Uber n.k wameikosa
Wala sio ishu ya makamu wa CAF kua kiongozi wa Berkane, wao wameona fursa wameitumia.
Sisi Wanasimba twendeni huko Zanzibar tukiwa na mashabiki wachache na tutakaowakuta huko Zanzibar kwa uchache wao wakiwa nje ya uwanja mana watakoingia ni 15,000 hapo ni pamoja na viongozi wa CAF delegates mbalimbali ..
Twendeni tukapambane, imeandikwa Simba atachukua ubingwa, basi itakua, imeandikwa tutabaki mshindi wa pili na kuambulia mabilioni na medali ya CAF, itakua..maisha mengine yaendelee. Kwa hapo tulipofikia tunamshukuru Mungu. Wakati mwingine lazima watu Fulani wajifunze kwa uchungu na maumivu makubwa sababu ni uzembe ufisadi na kutowajibika.
Dah ... speechlessKatika waliokwisha kununua tiketi ni wachache sana wenye uwezo au watakaokuwa na nia au hamu ya kwenda Zanzibar. Linabaki swali, utajuaje yupi anakwenda na yupi haendi? Utaanza kuuza tiketi upya? Utaendelea kuuza tiketi wakati idadi iliyokwishauzwa inazidi uwezo wa uwanja?
Mifumo mingi ya malipo ya pesa ilivyotengenezwa kurudisha pesa kwa mteja ni ngumu kuliko kuingiza katika mfumo. Na watu wengine wengi walilipa cash, unafanyaje hapo?
Hili suala la tiketi ni gumu kuliko tunavyolichukulia.
Ni kazi kweli kweli mkuu. Ndiyo maana wengine tulivyokuwa tunatoa tahadhari mapema sana tulijua tukifika hatua hii itakuwa shida kubwa.Dah ... speechless
Kumbuka Rushwa + umimi vinaua uzalendoAutopilot mkuu nchi inaendeshwa kwa autopilot mode...deep state wazalendo naamin lakin watafanya kitu. Hii Sasa nazungumzia in general...
Hizi mada za Simba sijui yanga tushazichoka bhna tuache huu usenge wa kuwa tunadiscuss upuuzi kila sikuWala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa warekebishe pitch. Matokeo watanzania maelfu kwa maelfu wamenyimwa fursa ya dhahabu ya kushuhudia tukio la kihistoria, kati yao wachache kwa idadi ya 15,000 ndio wataweza kusafiri. Tofauti ya mashabiki zaidi ya 45,000+, fursa ambayo pia wafanyabiashara mbalimbali kuanzia mama ntilie, migahawa, mahoteli, lodge, gesti, usafiri bodaboda bajaji teksi za mtandao kama Uber n.k wameikosa
Wala sio ishu ya makamu wa CAF kua kiongozi wa Berkane, wao wameona fursa wameitumia.
Sisi Wanasimba twendeni huko Zanzibar tukiwa na mashabiki wachache na tutakaowakuta huko Zanzibar kwa uchache wao wakiwa nje ya uwanja mana watakoingia ni 15,000 hapo ni pamoja na viongozi wa CAF delegates mbalimbali ..
Twendeni tukapambane, imeandikwa Simba atachukua ubingwa, basi itakua, imeandikwa tutabaki mshindi wa pili na kuambulia mabilioni na medali ya CAF, itakua..maisha mengine yaendelee. Kwa hapo tulipofikia tunamshukuru Mungu. Wakati mwingine lazima watu Fulani wajifunze kwa uchungu na maumivu makubwa sababu ni uzembe ufisadi na kutowajibika.
baada ya tukio la derby, hii ilitakiwa ifanikiwe iwe ya kuwapoza watu walioathirika na Ile derby kuanzia mashabiki walionunua tiketi waliosafiri Hadi wafanyabiashara mbalimbali wengine walikopa walionunua mzigo vyakula vya ziada kupika, kwa minajili ya kurudisha na faida juu, wamewaongezea tena machungu kwenye kidonda ..AIBU KUBWAAfrica vituko sana yaani fainali kubwa kama hii wanaingia mashabiki 15000 tu
Tudiscuss nini sasa mkuu..kwanza pole najua maisha magumu...tudiscuss Martha kariua , chaumma, g55 , wanaharakati , akaunti ya jeshi la Polisi kudukuliwa, chagua hapo...Hizi mada za Simba sijui yanga tushazichoka bhna tuache huu usenge wa kuwa tunadiscuss upuuzi kila siku