heee!! hapo kwenye bold na underline...... mmmh!! utapigwa mingumi usiyoitarajia na kumwagiwa tindikali na mwenye mali ooohooooo!!
Kwenye italic shule nzuri ziko nyingi tuu mshiko wako tuu, search google utapata hadi picha za shule unayotaka au waweza endelea kuzitembelea ili uzione kwa undani hasa.
Ila kwenye bold na underline tafadhali....
Mpeleke tusiime mi nmesoma pale nmeona watoto wanavosoma na ratiba nzuri na pia wanafaulu sana na mwaka huu imekuwa ya pili kitaifa
Kijana kwa ELIMU/TAALUMA bora, safi na MALEZI ya kimaadili,kimwili na kiroho kwa shule za msingi na sekondari zinapatikana mikoani,Nakushauri kijana wako mpendwa umpeleke mkoani SHINYANGA,wilaya ya KAHAMA katika shule bora kitaifa kwa miaka minne mfululizi iitwayo ROCKEN HILL PRIMARY SCHOOL P1702064.
Hodi humu ndani,ok hope nimepokelewa!!jamani mwenzenu nimehamia tabata huko Kinyerezi,sasa nina mtoto wa kuanza shule,ni 3 years,nimeuliza shule nikaambiwa mpeleke tusiime,nikauliza why TUsiime,ni nzuri tu ila walimu wanachapa sana,ila ni nzuri,sasa wamenichanganya,please anaeifahamu vizuri naomba ushauri wenu.Na sifungamani na Tusime tu kama kuna shule nyingine nijuzeni please.
Tumefikia hapo sababu ya ccm kuharibu elimu yetu.
Jaribu Genius King au Christ The King. Tusiime ada yao kubwaa then wengi ni wahaya
kwani wahaya wakiwa ndo wengi ina tatizo gani? au watamla mtoto?
Itakuw mil1.5 ukijumlisha na gharama zngne inafik 2.3 ....Ada bei gani?