Tusifanye papara kwenye kutafuta riziki

Turufuu

Senior Member
Dec 27, 2013
182
0
Amesema

Mtume (S.A.W) hatokufa mmoja wenu mpaka amiliki (apate) kile
alichoandikiwa na Allah kukipata akipate, hivo basi asifanye kharamu mmoja wenu
katika kutaka kumiliki hicho atakcho miliki. (hatuna haja ya kuiba kutowa
rushwa, kuza viungo vya albino n,k km 2meandikiwa kumiliki nyumb bc
tuamin km hatuta kufa mpaka tumiliki nyumba) WAJAZAQUMULLAH KHEIR.
 

makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,048
1,195
Ooyooo haya maneno ni safi na jazakallah kheir lakini sisi viumbe wa kisasa ni kama tuna mawazo mgando lakini pale tunapo kwenda makanisani na misikitini huwa siyo mgando tena hapo ndani ya haya majumba lakini tukitoka tuu basi tena huwa na mgando yale yote huwa tunayacha humo humo ndani ni sawa sawa na sikio lisilosikia dawa
 

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Nimepata bahati ya kukaa na kufahamu matajiri wengi kua mali zao wamezipata ktk njia za haramu.
Wizi
Rushwa
Uchawi
Dhulma
 

Gambamala

JF-Expert Member
May 13, 2014
1,045
1,250
Idea ni nzuri lakini tukiona wafuasi wake wanavyoua watu inakuwa ni ngumu kusadiki maneno haya
 

Homa la jiji

Senior Member
Jan 13, 2014
129
195
Makame jipange kk sio kila tajiri kapata utajiri kwa njia haramu tambua mungu ndie mwenye mali zoote nayeye ndo mgawa riziki usimkweze shetani kwakumjazia sifa zakuwapa watu utajiri
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,484
2,000
Makame jipange kk sio kila tajiri kapata utajiri kwa njia haramu tambua mungu ndie mwenye mali zoote nayeye ndo mgawa riziki usimkweze shetani kwakumjazia sifa zakuwapa watu utajiri

Hajasema 'kila' kasema ;'wengi'

Samahani nimemjibia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom