Maelezo yako ni sawa kabisa!Kwanza kuna makampuni yamespecialize kama brokers wa stock exchange market mfano orbit wapo twiga house. Wao ni maconsultant na wanatoa maelezo mazuri kuhusu hisa.
Kununua hisa maana yake unaweka mtaji wako katika kampuni nawewe unakuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni. Sasa unapotaka kununua hisa ni muhimu ukanunua hisa za kampuni ambayo inafanya vizuri. Kampuni ikishapata faida mwisho wa mwaka inabakisha sehemu ya faida kwa ajili ya kujiendeleza na sehemu nyingine inatoa gawiwo/dividend kwa owners/wanahisa.
Na kampuni inavyozidi kufanya vema ndivyo thamani ya hisa zake zinazidi kuongezeka.
Saccos ni kama unaweka hela yako na ikifika amount fulani unakuwa na fursa za kukopa na mtaji wako ulioweka unabaki palepale na kama ukijitoa unaondoka na pesa uliyo weka.
Swali jingine.
maelezo yako ni sawa kabisa!
Kinachonitatiza ni kwamba sijaelewa unatakaje sasa baada ya hayo maelezo?...sioni cha kudiscuss zaidi!
Kwanza kuna makampuni yamespecialize kama brokers wa stock exchange market mfano orbit wapo twiga house. Wao ni maconsultant na wanatoa maelezo mazuri kuhusu hisa.
Kununua hisa maana yake unaweka mtaji wako katika kampuni nawewe unakuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni. Sasa unapotaka kununua hisa ni muhimu ukanunua hisa za kampuni ambayo inafanya vizuri. Kampuni ikishapata faida mwisho wa mwaka inabakisha sehemu ya faida kwa ajili ya kujiendeleza na sehemu nyingine inatoa gawiwo/dividend kwa owners/wanahisa.
Na kampuni inavyozidi kufanya vema ndivyo thamani ya hisa zake zinazidi kuongezeka.
Saccos ni kama unaweka hela yako na ikifika amount fulani unakuwa na fursa za kukopa na mtaji wako ulioweka unabaki palepale na kama ukijitoa unaondoka na pesa uliyo weka.
Swali jingine.
Swali lako ali-make sense kwa sababu inategemea unanunua hisa na kampuni gani?Kabla ya swali jingine labda tu niseme kuwa maelezo yako yamekaa vizuri sema kuhusu ile issue yafaida itokanayo na uwekezaji wa hizo hisa ndo hujagusia kabisa kama zina mvuto ama vp?itakuwa poa kama utatujuza na hilo Mkuu
Kama ujui sheria za kununua na kuhuza hisa, kwanza nashauri ungejifunza kanuni zinazofanya hisa kupanda na kushuka. Hila hapa kinachoshangaza wewe ujue kuna uwezekano wa kununua na kuuza kibiashara halafu unashindwa kujua kama kuna time limit, aint that pathetic.Nikiamua kucheza nazo hisa kibiashara zaidi, yaani nanunua kwa bei poa leo na kesho nauza kwenda kununua kampuni nyingine inawezekana au ni mpaka muda fulani upite ndipo naruhusiwa?
Nikiamua kucheza nazo hisa kibiashara zaidi, yaani nanunua kwa bei poa leo na kesho nauza kwenda kununua kampuni nyingine inawezekana au ni mpaka muda fulani upite ndipo naruhusiwa?
Kabla ya swali jingine labda tu niseme kuwa maelezo yako yamekaa vizuri sema kuhusu ile issue yafaida itokanayo na uwekezaji wa hizo hisa ndo hujagusia kabisa kama zina mvuto ama vp?itakuwa poa kama utatujuza na hilo Mkuu
Mkuu faida siyo constant kwa kila mwaka kwa sababu gawiwo huwa linaamuliwa na board of directors wa kampuni husika. Kampuni inaweza kutengeneza faida kubwa sana mwaka fulani mkashangaa mnapata gawio kidogo kutoka na maamuzi ya board of direcotors. Maana wanaweza kuamua kuwa faida iliyopatikana kiasi kikubwa kiongezwe kwenye mtaji wa upanuzi wa kampuni na sehemu kidogo ndo mkagawiwa. Kwa mfano mwaka 2008/2009 Twiga Cement walitengeneza faida kubwa sana kutokana na mauzo huko Afrika ya kusini kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya mpira wakati wa maandalizi ya World cup lakini tualiambulia gawiiwo kidogo sana ukilinganisha na mwaka jana. Na faida pia inategemea na kampuni yenyewe. Kwa mfano kama mtu alinunua hisa za Nicol au TOL basi leo hii anasikilizia maumivu tu.