Tusidharau kazi ya ulinzi

Tusidharau kazi ya ulinzi

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
cio vizuri kumdharau mtu bz ni mlinzi kwanza utakuta mtu mwingne ni customer care wa kampuni za simu eti unamdharau mlinzi kua analipwa hela ndogo bila kujua anakuzidi hata wewe graduate kwa mshahara.... Jua kwamba kampuni kama kk, g4s, secur.group mwenye rank ya chini analipwa 250,000-300000 ukija kwa supervisor, site commander na zone manager wamekuacha ile mbaya kwa pay so zarau haifai
 
supervisor, site commander na
zone manager wanalipwa sh. ?
 
supervisor, site commander na
zone manager wanalipwa sh. ?

site commander au field officer unakuta analipwa 500,000- 700,000 sasa huu si mshahara wa graduate anayeanza kazi serikalini?...tena unaweza usifike...bado hujamgusa zone manager so tuache zarau mheshimu kila mtu mahali pake anapofanyia
 
Iyo kazi ni nzuri sana iko poa xana i wish ningepata na mimi iyo kazi ningefurai sana mchagua kazi ujue kwao kuna mpunga mwingi
 
"Iyo iko poa sana iyo.......,jamani ee huyu jamaa anawakilisha hisia zenu,we jamaa uko poa sana alafu nahsi kama nimekuona mahali hivi unalinda mkuu"
 
Kazi ni kazi kikubwa maslahi tu.
Dharau Tz zimetuzid
 
Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani
 
Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani

hivi securityguard wa African Barrick na Geita Gold mine mshara sh. ngapi?
 
kazi ni kazi....ni bora kuwa mlinzi kuliko kuwa punda au muuza sembe. me ofisini kwangu walinzi na wasafishaji nawaheshimu sana. always na-make sure nawafahamu majina yao na nikikutana nao napiga story.
 
Show love to each other

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom