Tusidanganywe, Uganda ushoga sheria inasema hukumu yake ni Kifo, mbona hawamo katika Ban ya Marekani? Sie tumezidi kutofata sheria na demokrasia na wa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

Hapo juu sheria ya uganda iko wazi kiwa ukikutwa na ushahidi wa ushoga adhabu yake ni kifo.

Hao wanaokuja na propaganda kuwa ushoga ndio kigezo cha kupigwa ban makonda na ccm kunyimwa mkopo wa elimu kisa ushoga wanatoa wapi hayo maneno?


Washakama mashoga wengi mno Uganda
 
Lakini nao Uganda chini ya Museveni ndio mabingwa wa kuvunja demokrasia pia!?..kwanini sisi ndio tuandamwe?...kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mimi nahisi si ushoga wala demokrasia
 
Wamarekani bwana! mtu akioa wake wawili(polygamist) wanamfunga na wanamtangaza nchi nzima lakini wanaume wakitaka kugeuzana ruksa. Najua sana wengi hampendi watu waangalie hii angle ya sakata la huyu bwana.
Swali, RC anamamlaka gani kupewa tuhuma za kidola( za kinchi)
Kama anayo hayo mamlaka basi hili si kawaida na linahitaji ushahidi.
Burden of proof kwenye hili liko kwa nani? Mtuhumu au Mtuhumiwa?
 
Back
Top Bottom