Tusichezee amani ya nchi tuwe makini

hivi kuu unaweza kusema kuna mateso wanayapata yapi?? mpaka watafute suluhu nje badala ya hapahapa

Mateso?

Unazungumzia mateso?

Nafanya biashara,mateso nayopata sasa hivi kuanzia 2015 pamoja na wenzangu,ni Mungu pekee anayajua!

Wewe huoni mateso,ni heri uendelee kuishabikia CCM,ni haki yako,na sisi ni haki yetu kubaki huku tulipo.

Haina haja ya wewe kuumia roho namna hii kwamba hatupo na serikali yenu!
 
siyo kuumia wangekuwa wanaunga mkono vitu vya maana sawa huko ni fujo tu

Huko ni fujo umesema wewe!

Sio kwao!

Wao kwao wanaona ni mbadala wa sufferings zao....

Sasa mnabidi mjipange sana kuwashawishi,na I'm sure you cant pull this up!
 
angalieni rekodi zinazotolewa tanzania inakua kiuchumi kwa haraka hata utendaji wa serikali sasa unaridhisha tunasheshimiwa tunapoingia kwenye ofisi za serikali mambo mengi tu
rekodi za nini ili khali mtaani tunajionea video, upatikanaji wa mafuta, sukari ukikuwa wa hovyo huku bei zikiwa juu

leo unanambia rekodi, wakati mie ndo niko tz najionea acha porojo nitajie nchi 5 zilizo msifia
 
angalieni rekodi zinazotolewa tanzania inakua kiuchumi kwa haraka hata utendaji wa serikali sasa unaridhisha tunasheshimiwa tunapoingia kwenye ofisi za serikali mambo mengi tu

Uchumi upi nyie maandazi?

Uchumi wa dola kua 2,500/=?

Acheni upumbavu!

Mnaudhi sana!
 
ndugu kumbuka kumpata kiongozi mwenye maono na uchungu wa maliasili ya nchi ambaye anapenda rasilimali ya nchi kila mwananchi afaidike nayo ni wachache waliowengi wanang'ang'ania madaraka ili wajinufaishe wenyewe
Kwa hiyo kiongozi wa aina hiyo mmeshampata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Aligawa nyumba ya serikali kwa hawala(mzalendo?)
2.Alinunua feri chakavu kwa bei ya feri mpya akiwa wa waziri, alipohojiwa akiwa Rais akaigeuza kuwa meli ya kijeshi (mzalendo?)
3.Anajenga kwao (wilayani) uwanja wa ndege mkubwa kuliko hata viwanja vya mikoa na hakuna kivutio chochote cha safari za ndege maana hata mabasi yanakosa abiria (mzalendo?)
Huu ni uzalendo mpya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…