PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 829
ndugu kumbuka kumpata kiongozi mwenye maono na uchungu wa maliasili ya nchi ambaye anapenda rasilimali ya nchi kila mwananchi afaidike nayo ni wachache waliowengi wanang'ang'ania madaraka ili wajinufaishe wenyeweNakupa kazi tena, fuatilia hizo nchi ambazo zina machafuko alafu chunguza kwa umakini uone chanzo ni nini? Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko sababu zikiwa zile zile; walio madarakani wanang'ng'ania madaraka
ndugu kumbuka kumpata kiongozi mwenye maono na uchungu wa maliasili ya nchi ambaye anapenda rasilimali ya nchi kila mwananchi afaidike nayo ni wachache waliowengi wanang'ang'ania madaraka ili wajinufaishe wenyewe
ndugu ni kweli nchi inawatu wengi sana na wazuri tu lakini kiongozi anatakiwa mmoja tu huwezi angalia mfano wamepita wangapi hawakuwa na uchungu kama wa JPM usilinganishe wingi wa watu kiongozi ni mmoja tu tumempata huyu hebu tuangalie anatupekleka wapi tutafaidi mema ya nchi na tukitaka kuharibu yajayo yatatisha si mchezoHuwezi kusema nchi nzima yenye idadi kubwa ya watu ni mtu mmoja tu ndio mwenye uchungu na nchi. Katika nchi zote duniani, serikali iliyopo madarakani ndio huamua amani au vita kwa jinsi inavyojiendesha, vita havitokei tu kusikojulikana
Habari ndugu wana jf.
nafikiri unaweza kujiuliza ni kitu gani kimenituma kuongelea amani ya nchi yetu hapa jukwaani, nimekuwa nikifuatilia ingawaje siyo kwakiwango cha juu sana jinsi mataifa mbalimbali yalivyo katika migogoro ya kisiasa uroho wa madaraka na mengineyo nikaja kugundua kuwa siasa ni mchezo mmoja hatari sana usipochezwa vizuri unaharibu amani ya nchi mpaka kufikia watu kuuwana kuwa wakimbizi na kushindwa kufanya shughuri za kibinaadamu zakutuingizia kipato na kuendesha maisha yetu ya kla siku, hivi unafikiria ikitokea machafuko nani atakuwa na amani ?nani ataweza kufanya shughuri zake kama kawaida ?hata starehe tutazifanyaje tukiwa tumevurugana?
ombi langu watanzanzania tuepuke propaganda za wanasiasa tuache serikali ifanye kazi yake kwa amani hao wanao jifanya wajuaji kupinga kila kitu tuwe nao makini sana, awamu ya tano iko makini kuleta maendeleo lakini watu wako busy kukashifu tu kila kitu utafikiri akipewa madaraka yeye atakuwa anagawa hela mifukoni kwa watu hakuna kitu kama hicho subirini baada ya muda muone miradi inayoendelea ikikamilika tutakuwa kama tuko ulaya heko awamu ya tano, upinzani kazi yao ni kuikumbusha serikali ambayo inapitiwa maana nao ni binaadamu siyo kutafuta kosa ili kuwapigia fimbo walioko madarakani kwani ukisema mkuu hapa tunaona kama hapajakaa vizuri unaonaje kikafanyika hiki ?maelewano yatakuwepo sasa wao kazi yao kukashifu na kuzarau tu maendeleo kwao haijulikani hata wana taka nini yaani ingekuwa amri yangu uppinzani tungeutoa tu tubaki na chama kimoja tupunguze na matumizi yasiyo ya lazima.
asanteni kwa kunielewa
wananchi nao wanasehemu wanakosea kuunga mkono vikundi ambavyo havina nia halisi ya kuongoza nchi bali kutaka kuleta vurugu tuWenye shida ni nyie wenye madaraka ndio mnaharibu amani yetu!
uchungu wake umeupima vp? kula hela za rambi rambi kagera.ndugu ni kweli nchi inawatu wengi sana na wazuri tu lakini kiongozi anatakiwa mmoja tu huwezi angalia mfano wamepita wangapi hawakuwa na uchungu kama wa JPM usilinganishe wingi wa watu kiongozi ni mmoja tu tumempata huyu hebu tuangalie anatupekleka wapi tutafaidi mema ya nchi na tukitaka kuharibu yajayo yatatisha si mchezo
wananchi nao wanasehemu wanakosea kuunga mkono vikundi ambavyo havina nia halisi ya kuongoza nchi bali kutaka kuleta vurugu tu
nyie mtakuwa mmelogwa maana mnataka kilakitu anyanye yeye ukitokea msikba akienda makamu kunatatizo gani atawezaje kuhuzuria kila event? hivi hamuoni mataifa ya ulaya yanavyosifu juhudi za mkuu wa nchi mmekalia sias za kinafiki tu ndiyo maana nasema hapa upinzani haujui majukumu yake unafaa ufutwe waanze upyahuu ni uchungu mpya katika kamusi ya uzalendo
unafikiri mngekuwa hamuwaungi mkono kwa hoja zao zisizo na mashiko wangeendelea wangeacha wajiunge nasi tujenge nchiJenga hoja,tenda kazi yako,shawishi,wakikataa then panguza matako urudi chattle ukalime!
nyie mtakuwa mmelogwa maana mnataka kilakitu anyanye yeye ukitokea msikba akienda makamu kunatatizo gani atawezaje kuhuzuria kila event? hivi hamuoni mataifa ya ulaya yanavyosifu juhudi za mkuu wa nchi mmekalia sias za kinafiki tu ndiyo maana nasema hapa upinzani haujui majukumu yake unafaa ufutwe waanze upya
mbadirike tujenge nchi pamoja na mkuu wetu mbona anatakakutupeleka nchi ya asali na maziwa fungukeni msikubali kuendeshwa na wababaishajiSijui umo humu unalalamika ili iweje?
hahhaha umenikumbusha ile habari ya trump kumsifia magu hahahahaha wewe itakua unasoma gazeti la tanzanite na kutazama tbcnyie mtakuwa mmelogwa maana mnataka kilakitu anyanye yeye ukitokea msikba akienda makamu kunatatizo gani atawezaje kuhuzuria kila event? hivi hamuoni mataifa ya ulaya yanavyosifu juhudi za mkuu wa nchi mmekalia sias za kinafiki tu ndiyo maana nasema hapa upinzani haujui majukumu yake unafaa ufutwe waanze upya
unafikiri mngekuwa hamuwaungi mkono kwa hoja zao zisizo na mashiko wangeendelea wangeacha wajiunge nasi tujenge nchi
angalieni rekodi zinazotolewa tanzania inakua kiuchumi kwa haraka hata utendaji wa serikali sasa unaridhisha tunasheshimiwa tunapoingia kwenye ofisi za serikali mambo mengi tutaifa gani limemsifia
hivi kuu unaweza kusema kuna mateso wanayapata yapi?? mpaka watafute suluhu nje badala ya hapahapaHoja zao zinawavutia wao,wanaona wana majibu ya mateso yao ya kila siku!
mbadirike tujenge nchi pamoja na mkuu wetu mbona anatakakutupeleka nchi ya asali na maziwa fungukeni msikubali kuendeshwa na wababaishaji
siyo kuumia wangekuwa wanaunga mkono vitu vya maana sawa huko ni fujo tuUnajua nilikua siamini kama wananchi wakipenda sera za wengine na sio za CCM mnaumia kiasi hiki!