Tusichanganye siasa na elimu

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
937
327
Kwa mitihani yote inayofanyika shule za msingi ikiwa ni pamoja na ya ngazi ya shule yaani mitihani ya muhula sanjari na mocko mkoa.

Mitihani yote imeandikwa ubaoni sasa tunakwenda mbele au tunarudi nyuma? Hii elimu bure ndo kurudi enzi za 1760?Wanasiasa Taifa linaenda wapi?
 
Kwa mitihani yote inayofanyika shule za Msingi ikiwa ni pamoja na ya ngazi ya shule yaani mitihani ya muhula sanjari na MOCKO mkoa.Mitihani yote imeandikwa ubaoni sasa tunakwenda mbele au tunarudi nyuma? Hii elimu bure ndo kurudi enzi za 1760?
Wanasiasa Taifa linaenda wap?
Walimu wasifundishe kwa mitihani. Darasa la Saba wana mock za kata, wilaya, za private schools, ya taifa na mtihani mkuu. Sasa bado mitihani ya wiki na mwezi. Walimu wanafundisha saa ngapi?
 
Back
Top Bottom