Tushauriane wote

Tushauriane wote

Mkuu nmejaliwa moyo mgumu sana....nina ugonjwa uwa siamin.mwanamke...so akibadilika nshajiandaa kisycolojia....ila papuch lake uwa nalitumia effectvely

Hapo mkuu umenena trusting too much kills.....ujue mapenzi ya bongo ni kama umeme wa TANESCO mda wowote unakatika so GENERATOR ni muhimu kuwa naloo
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hapo mkuu umenena trusting too much kills.....ujue mapenzi ya bongo ni kama umeme wa TANESCO mda wowote unakatika so GENERATOR ni muhimu kuwa naloo

You talk fella....hakuna cha mahaba niue...mwanaume kuzama kwene mapenzi ni uzembe..nakotokea mm tunaamini hivo...mwanamke ndo azame kwako...mwanaume ni simba
 
Back
Top Bottom