Bwana MO11 watu wenye tabia kama yangu tunatakiwa kuunda mikakati mikali ya watu kama hao kuwapuuza kwa taaratibu zifuatazo.
1, ukiona thread yake usikomenti chochote tunamuaacha anapita thread yake yakipuuzi, kwa sababu gani nasema hivyo
kukomenti maoni ya aina yoyote iwe kejeli, dharau, ua maon
kunaifanya thread kubaki front page, nakuziba thread zingine zakujenga.
2, watu kama hao kutochangia chochote kwenye thread zao kutawafanya washituke nakujiona kama wanadhaurika kwa kuupuzwa thread zao za matope?
3, kama ukiona huyo mtu tabia yake inakukuela sana. kuna kitufe cha ignore list, unakibonyeza katika id yake.
hii itakusaidia sana kutoona mandishi yake ya aina yoyote
cc Sweetheart Polisi jamii Shake Money
:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:Wataje kabisa wanaotutungia habari ili tukiona thread zao tuwapuuze na kuwaweka kwenye ignore list
:welcome::welcome:mmoja wapo kati ya hawa wapuuzi ni wewe
mmoja wapo kati ya hawa wapuuzi ni wewe
Unajua wakati mwingine unajua ukweli ila kwa kuwa hutaki unajifanya hujui
Bwana MO11 watu wenye tabia kama yangu tunatakiwa kuunda mikakati mikali ya watu kama hao kuwapuuza kwa taaratibu zifuatazo.
1, ukiona thread yake usikomenti chochote tunamuaacha anapita thread yake yakipuuzi, kwa sababu gani nasema hivyo
kukomenti maoni ya aina yoyote iwe kejeli, dharau, ua maon
kunaifanya thread kubaki front page, nakuziba thread zingine zakujenga.
2, watu kama hao kutochangia chochote kwenye thread zao kutawafanya washituke nakujiona kama wanadhaurika kwa kuupuzwa thread zao za matope?
3, kama ukiona huyo mtu tabia yake inakukuela sana. kuna kitufe cha ignore list, unakibonyeza katika id yake.
hii itakusaidia sana kutoona mandishi yake ya aina yoyote
cc Sweetheart Polisi jamii Shake Money
Heshima nikitu cha bure hapa tunashauriana
mmoja wapo kati ya hawa wapuuzi ni wewe
Wataje kabisa wanaotutungia habari ili tukiona thread zao tuwapuuze na kuwaweka kwenye ignore list
Naanza Na Huyu Jamaa Galadudu Aka SUPU YA MAWE Wengne Nanyie Watajeni
Tupunguze Tu Maneno Machafu Lakin Comment Za Kufurahisha N Muhmu, Huwez Kuongea Point Na Usome Point Tupu Tutakua Stresd, Na Kama Bas Hupend Ni Vema Ukasome Huko Kwa Bible Na Siasa Tupu,
Yani umenichekesha balaaa
unacheka, subiri nikuambie kitu ambacho hukiju kuhusu mimi.
hakuna kitu kizuri hapa dunian kama furaha, na watu wote unaowana wanafanya kazi au shughuli yoyote, lengo lao kuu ni kuisaka furaha.
mimi huwanga nafurahi sana kuona watu wanahaha na kukeleka sababu ameona komenti baya jf.
unamkuta mtu ameandika ameuzika sana, basi watu kama hao ni furaha kwangu.
Nafuata sheria za Jf
Heshima nikitu cha bure hapa tunashauriana
unajua sheria wewe ??
sheria gani nimevunja ??
Tatizo letu watanzania hatuwezi kuhandle the truth ndio maana tunadanganywa danganywa ukiambiwa ukweli umevunja sheria isiyojulikana