Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

Ila madawa yao yakiisha wanaume wanakuaga kama wameloa yani na nuru ya usoni inaishaa..ndo muda wa kurudi kwa wake zao sasa wameshachapika. Any way msijiendekeze sana fanyeni kama ni emergency sio mnaji Admit kabisa hahahahaahhaahh
Na hakuna mwanaume anaye muacha mke wake michepuko inajisahaulishaga kijinga kwa wake zetu hutuambii kitu tunarudi muda wowote.
 
Me ushauri wangu huyo mke wa jamaa muacheni akae ndani kama week mbili akitoka humo atakua amejifunza jinsi ya kuilinda ndoa yake na kufata mambo yake na sio kupiga wanawake wajawazito.......Huyo mjamzito aendelee kuhudumiwa kama kawaida na huyo baba wa mtoto anaenda kwa watu kula kula vitu vya watu ww Deepond siumsahuri rfk Ako mumbonde na onyo Kali alitoa mguu kweny hyo nyumba atabakwa basi njia rahisi sana

Aah sema nimegundua wanawake kweli hampendani, mda mwingine naona kweli dunia haiko sawa kwa hawa viumbe wenzetu, ingekua ndo mwanamke kafanya hayo hadi kwenye nyumba icho kikao kisingekuepo angepigwa kama sio kuuliwa nakoo pande zote wangemtenga na kumwona MNYAMA NA SHETANI ila kwa kua ni mwamaume ye ndo kafanya et ndo vikao vya kuwekwa sawa na mwanaume yupo huru kuchua maamuzi!!!!

all n all ndo maana nawakubali wanawake wakichagga(baadhi) ukiona mwanaume ndani anarukaruka unampeleka next life chap alafu unabaki na mali unarithisha wanao wale haki zao kwa raha kama kulikua na michepuko inamdangia mume wake basi itabidi ikamdangie kaburini uko.

Kama iko kisa nichakweli inabidi mwanaume anyangaywe hati zote na mali zisimamiwe na mwanamke kwajili ya watoto, ndoa ivunjwe, mwanamke awe huru na mali na wototo then atafute mume bora kwake mwingine akae nae walee watoto na waendeshe maisha, uyo mwanaume ye aende kwamchepuko walee familia kwa raha zao pia since washahujumu uchumi wa familia wamepata nyumba ni mwanzo mzuri ili mchepuko asilalamike so aolewe kabisa na uyo mwanaume wajiachie.

Ila nwombea uyo mwanamke ikiwa ivo na mali akabaki nazo apate mwanaume kama kina sis MAUNCLE SHAMTE wenyewe hatuwazi sana kutafuta ela ila kazi yetu nikutabasamu, kukupa furaha, ushauri na kukupelekea moto baasihatuchiti maana tunghalamikiwa.[mention]DeepPond [/mention]
 
Dada ako ndio angekua na mimba akafanyiwa kitendo kama hicho ungechukua uamuzi gani?!

Mi binafsi ningemwaacha akome hata akifa poa tuu, ye anajua kabisa apa sio ulaya afu unajipeleka kwa MKE ye kajikalia shop anataftia familia we unajilpeleka kwa MKE kweli!!! Ni kheri na yeye angefanya siri ila mke akajua kwanjia zake ndo akaenda kumpiga apo ningesema sawa kaonewa.

Unajua naamini mke ham kubwa ilokua imepeleka apo ni story alioambiwa na uyo mchepuko kua kapewa nyumba and blablah sa alitaka kujua iyo nyumba iko vipi, na ukute kakuta ni bongaloh kuzid ata lake alafu watoto na familia yake inateseka mwanaume anasema hana ela inshot kibinadam lazima mapepo kama sio presha vitapanda tuu alafu unaona mchepuko mwenyewe alivovimba kwenye nyumba na next baby pale aah MKE hana makosa asee atambinguni mungu atamwelewa tuu.

Kwamimi nishachepuka sana ila nilikotoka na wife wangu nakujua mwenyewe kanipigania na kunivumilia sana kiasi kwamba naamini siku akinifumania ndo mwisho wa maisha yangu na uyo mchepuko wangu nawala sitomlaumu ata chembe kabisa, namimi niskie mchepuko kajipeleka kwa WIFE asee taarifa itasikika ITV ni kifo kama sio ulemavu hawezi kwenda kwa mke wangu no motter what
 
Nina akili ndomaana sipendagi ujinga

[mention]Plan Master [/mention] Jamangu ungekua karibu mi tungepiga ata beer yani et kisa mimba ndo afanye anavyojua yeye haa mi naujua uchungu wakutafuta maisha na mtu, MAWIFE wanapitia vitu vingi ndani ya ndoa kutuvumilia sio watu wakutendewa ivo hata kidogo labda mtu usiwe na mke mwema asee sema ni tamaa tuu za kuonjaonja nje ila haibadirishi kua kisa nimekupa mimba ndo uje kumfata WIFE asee nawish ninunue iyo kesi kudadadeki ningemfanya mbaya uyo mchepuko nakufia jela angejuta sana kumfata mke wangu na isitosha alikua anajua nimeoa et kisa mimba ndo anaenda kunivunjia ndoa asee bas tu mimi ndo mwemyw mamlaka ya kumfata wife nikamwambia kama unaona sitoi matumizi nenda kwenye vituo vya haki au police kashitaki [mention]Lovelovie [/mention] ivi alipoenda sikuile dukank kwa uyo mke je angekuta uyo mke anakisu akamchoma ye alijua kua mke wa uyo jamaa angepokeaje iyo issue???? Acha kutetea banna sema wanawake hua hampendani thats all.
 
Mi binafsi ningemwaacha akome hata akifa poa tuu, ye anajua kabisa apa sio ulaya afu unajipeleka kwa MKE ye kajikalia shop anataftia familia we unajilpeleka kwa MKE kweli!!! Ni kheri na yeye angefanya siri ila mke akajua kwanjia zake ndo akaenda kumpiga apo ningesema sawa kaonewa.

Unajua naamini mke ham kubwa ilokua imepeleka apo ni story alioambiwa na uyo mchepuko kua kapewa nyumba and blablah sa alitaka kujua iyo nyumba iko vipi, na ukute kakuta ni bongaloh kuzid ata lake alafu watoto na familia yake inateseka mwanaume anasema hana ela inshot kibinadam lazima mapepo kama sio presha vitapanda tuu alafu unaona mchepuko mwenyewe alivovimba kwenye nyumba na next baby pale aah MKE hana makosa asee atambinguni mungu atamwelewa tuu.

Kwamimi nishachepuka sana ila nilikotoka na wife wangu nakujua mwenyewe kanipigania na kunivumilia sana kiasi kwamba naamini siku akinifumania ndo mwisho wa maisha yangu na uyo mchepuko wangu nawala sitomlaumu ata chembe kabisa, namimi niskie mchepuko kajipeleka kwa WIFE asee taarifa itasikika ITV ni kifo kama sio ulemavu hawezi kwenda kwa mke wangu no motter what
Ety ITV Kuna watu mnajua kuongea tu........ Kweny vitendo 0
 
assum we unamsaliti mumeo uko alafu unampango wa kando then sikumoja unakuta mpango wa kando yupo na mzazi mwenzake wa zaman kwenye gari wanaelekea mlimani city wako na furaha na jamaa kavaa nguo ulizomletea zawadi je utazidi kumletea zawadi nyingine? Kumghalamikia mtu alafu uone anamjali mwingine inauma na najua uyo dada alikua anafanya kusudi tuu sababu anajua mwanaume anamke nayeye keshaitaka position ya uyo mke mwema so sad
Watu wanachukulia kirahisi sana Hizi situation, wakaribu kuvaa viatu vyake jamaa
 
Back
Top Bottom