Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

1. Hapo kwa wife ake apenyeze rupia kwa maafande lazma apewe dhamana. Pia akiweza kumtoa lupango mke wake hata hasira zitapungua maana najua mpka sasa hv kashasota vya kutoSha. Wakirudi watayamaliza bila shida
2. Kwa mchepuko arudi kwa heshima debe (uongo ofkoz). Amlambe miguu kua wife amezingua n.k kwaio hataki tena kurud ameamua ayajenge na mchepuko walee mtoto wao n.k. lazma atalegeza kamba
3. Akishatoka hossy, aende akaombee mkopo hyo nyumba apige dili na madalali iuzwe, mchepuko atarudi ground zero na kytulia. Akileta kelele ataenda ustawi huko hakuna jam sana
4. Amkane mchepuko kwa kigezo cha kutokua na uhakika na hyo mimba kwakua mzaz mwenzie inaonekana wanatiana so yaezekana mtoto si wake
Asiposikiliza huu ushauri haji kutoka kamwe kwenye hii ngori
 
Ni kweli unachosema lakini ni ngumu kuepuka ichi kikombe cha kuchepuka hakianani ni ngumu, pale ukiwa unaoa unasema sitakaa nichepuke mwezi mmoja tu unajikuta umeanza kusaka na kuchepuka.....!!!!! Na huwa hatuna sababu zakuchepuka ni tamaa zetu tu tuna wanawake wazuri lakini abdala kichwa wazi ndo analeta matatizo ya tabia mwili
Sahii kabisa,
Wanawake Ni wagum Sana kuelewa hili
 
Hakuna mwanamke apendae kuwa mpango wa kando. Tena hasa wa kizazi hiki. Mwanaume akufate, akueleze ana mke. Unaona kabisa mke anakuwa priviledged. Unafikiri utakuwa na furaha. Narudia hakuna mwanamke anaefurahia kufichwa.

Raha ya mwanamke nae atambulike officially kama mke wa fulani. Bugatti analijua hili ndo maana kazi kuoa na kuacha. Kwanini unifichefiche. Hata wewe bro unaesoma hapa na una mke na una mchepuko. Kuna siku mambo hdharani yatamwagika.

Naongea kwa experience..nilishawahi kuwa mpango wa kando kwa miaka kadhaa. Niliyachoka yale maisha. Nikajikuta naregret. Kila unamuona mke halisi we unabaki kutamani tu. Its a disastrous road. Kama mwanamke unajipenda..usiingie kwenye hili tego.

Na we mwanaume kama unapenda familia yako.iwe strong bas hit and run. We na ndani wamwagia, na nyumba wanunua. Michepuko hawana.siri. mambo yanabumbulukaga tu.

Hilo doa hubaki vizazi na vizazi. huyo jamaa kama anaipenda familia.. acome clean kwa mkewe. Sisi wanawake ni waelewa. Ataumia lakini atasamehe. Ili asiyakumbuke haya, sasa ndo muda sahihi ya jamaa kuwa close na familia. Awekeze kwa watoto. Viwanja ama nyumba, awekeze kwa.wazazi. amhonge very expensive gift mkewe. Kama ni gari ama nyumba. Inshort alipe gharama. Afu awe mume bora. Kuwahi kurudi, kukaa na watoto.weekends. kucheza na family, kuwatoa out. Inshort atongoze upyaaaa. Huku akionesha regrets. Afu wadiscuss na mkewe of how to manage hili suala. Yani aweke karata zote mezani. Kama ni matunzo amshirikishe mkewe...akifanya usiri itaamsha hasira. Atakua ameamua kuivunja nyumba yake

Umemaliza kila kitu....jamaa kamkosea sana mke wake yani aombe mke wake hasira zisishuke chini maana nayeye atanza kumpa yeyote aliekua anamtongoza mwisho wa siku ni hatari sana ndo vifo hutokea kwa hii style.

Alipofail sana nikimnunulia uyo mdada nyumba, itamtesa sana na itamuuma mkewe mpaka kesho kaburini maana anaona kahustle kutafuta na mumewe hadi wamefikia hapo alafu kuna boya mmoja kaja kirahisi tuu anachukua jasho la familia kirahisi tuu na mtoto juu mixer nyodo yani jamaa asipokua na akili na msimamo ni kurogana na kuuwana ndo kunafata.
 
mmh dunia ina mambo, kikubwa hapo mchepko kashafinywa vzr na mke, so mke apambn tu na mmewe wayajenge mana inaonekn kbs jamaa hana mapenz tena kwa mchepko, mwisho naww kiunganish wewe Mungu anakuona
 
Hapo ndo wanaume wanakwama. Uwepo wa ba mtoto wa kwanza na matumizi kwa mama K vinahusiana nini? Yeye angesitisha mazoea yao ila mimba ahudumie.
Mtu analazwa hana damu bado unakaza na ni mjamzito kwelii??
Hata mimi ningeharibu kabisaaaa.
Kwanza mwanaume gani mwenye kazi na mjamzito ya maana? Mwanaume anajua kifuatacho ni majukumu so hawezi kuwa na mpango nae.

assum we unamsaliti mumeo uko alafu unampango wa kando then sikumoja unakuta mpango wa kando yupo na mzazi mwenzake wa zaman kwenye gari wanaelekea mlimani city wako na furaha na jamaa kavaa nguo ulizomletea zawadi je utazidi kumletea zawadi nyingine? Kumghalamikia mtu alafu uone anamjali mwingine inauma na najua uyo dada alikua anafanya kusudi tuu sababu anajua mwanaume anamke nayeye keshaitaka position ya uyo mke mwema so sad
 
Na michepuko inajua kuloga sana muwe makini mkituona tumeanza kubadilika mjue tayari tumewahiwa
Ila madawa yao yakiisha wanaume wanakuaga kama wameloa yani na nuru ya usoni inaishaa..ndo muda wa kurudi kwa wake zao sasa wameshachapika. Any way msijiendekeze sana fanyeni kama ni emergency sio mnaji Admit kabisa hahahahaahhaahh
 
Wanaume tumeumbwa mateewwwesomateso kuhangaikaaaa

Wanaume tumeumbwa mateeeeeeeeso

Daaaaah ya kwa ufupi tu hata ingekua ni mimi nmechukua maamuzi ya Jamaa it's not easy to live a side chick who is a single mother namaanisha sio rahisi kuishi na mchepuko ambae ni single, that was a small mistake

Big mistake ni kumjengea mpaka nyumba yaan hapo ndio amefanya big mistake my friend hapo ali-bug step single mother ni mke wa mtu tayari kwa hio alipomjengea yeye akamleta mumewe aliemzalisha awali kwa maana ndie anaemhusudu na ana mwelewa yeye na sio jamaa almost 3 times

Tutoke uko tuje kwenye suluhu hapo kwanza wote wamekosea
Jamaa kakosea
Mchepuko kakosea
Mke wa jamaa pia kakosea

Cha kujiuliza huyo mchepuko ana akili timamu au zimefyatuka kichwani?

Miadi yao yeye na Jamaa ilikua ni ipi?

Ukiondoa suala la Jamaa kumkuta baba wa mtoto wa Kwanza wa mwanamke na kutokumpatia matunzo huyo mchepuko je kuna kingine cha ziada alichokueleza yeyote kilichopelekea wao kupisha katika mahusiano yao?

Je! Mchepuko ana mtoto (single mother) ila hana kazi anamtegemea tu jamaa ndio amlishe yeye na mwanae kwa kisingizio cha kumtia mimba?

Je! Mwanamke (single mother) anajielezea vipi kwa Jamaa tangu masaibu hayo ya kumweka mke wa jamaa rupango au hawajaongea chochote na Jamaa?

In short Jamaa alivamia mchepuko kambi ya fisi that's another big mistake huyo mchepuko single mother was so called mchumia tumbo alikirengesha apate mimba ili amtumbue Jamaa akisahau kua Jamaa ana familia yake anaipenda na inamtegemea

Huyu single mother on one way or another anasadifu tabia za single mothers wengi wanaojinasibu kua wachapakazi na wanajopambania wenyewe but behind the scene wanaujua ukweli halisi ni upi

Cha kukushauri wewe km wewe hakikisha huyo single mother though najua huyo single mother upstairs zimefyatuka sababu nmewahi ku-date na single mothers kadhaa so nawafahamu akili zao zimeelekea chini sio juu so muelekeze kwamba anaiua ndoa ya Jamaa kwa sababu zipi?

Akikupa jibu muelekeze akafanye utaratibu wa kumtoa mke wa jamaa maana kumweka ndani hakuto tatua changamoto zake maana yeye amedandia ndoa ya mtu kapora mwanaume wa mwanamke mwingine so ajiongeze asijifanye kichaa..

Nina experience ya kutoka kimapenzi na single mothers kadhaa hawa viumbe MUNGU atusamehe upstairs wanajua wenyewe wanachokiwaza

Nakuja kuendelea ngoja nipige funda la maji Kwanza....
hahaa ushaur mzr
 
Ila madawa yao yakiisha wanaume wanakuaga kama wameloa yani na nuru ya usoni inaishaa..ndo muda wa kurudi kwa wake zao sasa wameshachapika. Any way msijiendekeze sana fanyeni kama ni emergency sio mnaji Admit kabisa hahahahaahhaahh
Lawama pelekeni kwa waume zenu na uzembe wa baadhi ya wadada...kila kitu mkisingizia kulogwa haitapatikana nafasi ya kubadilika kwa chanzo ambao ni wanaume wenu wasioridhika na walicho oa
 
Lawama zote ziende kwa jamaa, unakuwa unafikiria nini mpaka unazaa nje na mwanamke mjinga?
Wanawake ni pretenders wa standard gauge. Kuwajua ni kazi nzito.

Tunasema kila siku...acheni kujihusisha na single mothers
 
Back
Top Bottom