Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,369
- 17,935
Wanajanvi kunakitu mimi sikielewi vizuri naomba mnijuze, inakuwaje katibu mkuu na chief Medical officer wanawajibika kwa mgogoro wa madaktari ulioanzia Muhimbili National Hospital halafu viongozi wa wizara wanaadhibiwa lakini viongozi wa Muhimbili Hospital hawahusiki? Who manages MNH? Na kama wapo kwanini hawawajibishwi kwa sakata hili la mgomo! It is important to discuss principles and issues and let us put personalities aside.
Micro management ya Blandina Nyoni kwenye taasisi zote zilizo chini ya wizara yake. Njelekela ni picha tu maagizo yote yalikuwa yanafanywa na Blandina