Tusemezane: Mgodi wa TULAWAKA chini ya STAMICO una hali gani?

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,543
40,678
Wakuu nakumbuka Barrick Gold walituuzia Mgodi wa tulawaka na kutwaliwa rasmi na serikali yetu chini ya STAMICO napenda kufahamu Mgodi huu kwa sasa una hali gani?

Ni vizuri tupate tathmini yake ili tuangalie namna ya kuiendesha migodi hii kwa akili na nguvu zetu wenyewe wazawa!

Karibuni wadau.
 
Nadhani kama mwezi mmoja umepita walitangaza kuufunga kuwa hao stamico wameshindwa kuuendesha!! Wakati kila kitu waliachiwa!! Acha tuendelee kudanganya uchimbaji madini sio kazi ya mchezo mchezo tu!! Walidai gharama za uendeshaji ni kubwa mno!!
 
Unajua mkuu ndio maana Kuna thread Pascal Mayalla kaelezea nature ya watanzania tulivyo... sasa ili Kujua tupo wapi na tunaweza nini ni budi tujulishwe ni vipi STAMICO imefanikiwa kuuendesha TULAWAKA?
 
Nadhani kama mwezi mmoja umepita walitangaza kuufunga kuwa hao stamico wameshindwa kuuendesha!! Wakati kila kitu waliachiwa!! Acha tuendelee kudanganya uchimbaji madini sio kazi ya mchezo mchezo tu!! Walidai gharama za uendeshaji ni kubwa mno!!

Wee! Naona hilo tangazo lilinipita, kumbe walitangaza wamefunga?
 
Kama kawaida ya siku zote, serikali hii haijawahi kuendesha mradi wowote kwa faida.

Mgodi wa Tulawaka, chini ya STAMICO, umesimama uzalishaji ukiwa na deni la TZS 56 billion. Wazabuni walikuja juu mwanzoni mwa mwezi, hazina imeanza kulipa deni kwa wazabuni ambao walitaka kufungua kesi.

Walikuwa wanazalisha ounce moja kwa dola 1,500 wanauza kwa dola 1,200. Hapo ndipo uwezo wetu wa Tanzania tunaotaka tuchimbe madini yetu wenyewe ulipokuwa umeishia.
 
Mkuu laiti wabongo wangekua na akili ya kuchanganua haya tusingefika huku....
 
Wakuu nakumbuka Barrick Gold walituuzia Mgodi wa tulawaka na kutwaliwa rasmi na serikali yetu chini ya STAMICO napenda kufahamu Mgodi huu kwa sasa una hali gani?

Ni vizuri tupate tathmini yake ili tuangalie namna ya kuiendesha migodi hii kwa akili na nguvu zetu wenyewe wazawa!

Karibuni wadau.
tundulisu a.k.a makinikia
 
Mkuu upo wapi walishashindwa kitaaambo hayo mambo yana wenyewe, tatizo ukurupukaji umezidi saana nchi hii watu wana ugonjwa wa kuangalia bei ya kitu na ku caluculate faida bila kuangali cost of production na mambo mengine ambayo kitaalam baadae baada ya kufanya deduction angalau waweza predict au pata net profit..........
 
Back
Top Bottom