Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Mganga wa kweli hawezi kukupa masharti magumuDuniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu.
Wewe ambaye umewahi kwenda kwa mganga alikupa masharti gani?
Mm niliwahi kwenda akataka nimtoe kafara mtoto.Nilimaindi sana nikamtukana nikasepa.
Duniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu.
Wewe ambaye umewahi kwenda kwa mganga alikupa masharti gani?
Mm niliwahi kwenda akataka nimtoe kafara mtoto.Nilimaindi sana nikamtukana nikasepa.