TUSEME UKWELI TU Jamani! UTACHAGUA NINI KATI YA HIVI!

Kwa jinsi picha ilivyo unaweza kuwaokoa wote hapo pasipo shaka..Utu mbele kwanza.
Mashart ni kwamba ukitaka kuokoa vyote utapoteza vyote pamoja na wewe!

Haya, chagueni moja
 
Bilioni 20 haiwezi kukaa kwenye hako kabegi hivo hapo ni kumuokoa mwanamke hako ka begi kapite hivi
 
Watu wanaua kwa sh. Mil 2 iwe bil. 20, you must be kidding, mimi sichagui kitu maana hakuna kitu kama hicho, ila nitavuka mto nikiufikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…