Ki anatoa sana pass sio mchoyo ataStephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;
Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira.
Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie.
Aziz Ki ni mvivu wa kukaba pindi anapokuwa kapoteza mpira mara nyingi anarudi akiwa anatembea tu
Sawa sifa moja wapo ya mfungaji ni uchoyo lakini anatakiwa kubadilika sana.
Kuna nafasi anazipata nzuri za kuwawekea wenzie mapema lakini atataka alazimishe kupita, atataka apige shoot na mwisho wa siku anaharibu nafasi muhimu.
Ukiona Aziz Ki kapiga pass ya mwisho kwa wenzie basi ujue yupo mbali na goli lakini akiwa karibu na goli ni mchoyo sana anataka afunge yeye tu.
Hopefully ni wakati wake wa kubadilika na kama akiweka uchoyo pembeni basi atarahisisha au atasaidia timu kupata matokeo mapema uwanjani.
Skills yake
Talent yake
Power yake
Fitness yake
Ni mchezaji mzuri na muhimu lakini anatakiwa kubadilika.
Mchoyo na bado anaongoza kwa assist..!Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;
Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira.
Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie.
Aziz Ki ni mvivu wa kukaba pindi anapokuwa kapoteza mpira mara nyingi anarudi akiwa anatembea tu
Sawa sifa moja wapo ya mfungaji ni uchoyo lakini anatakiwa kubadilika sana.
Kuna nafasi anazipata nzuri za kuwawekea wenzie mapema lakini atataka alazimishe kupita, atataka apige shoot na mwisho wa siku anaharibu nafasi muhimu.
Ukiona Aziz Ki kapiga pass ya mwisho kwa wenzie basi ujue yupo mbali na goli lakini akiwa karibu na goli ni mchoyo sana anataka afunge yeye tu.
Hopefully ni wakati wake wa kubadilika na kama akiweka uchoyo pembeni basi atarahisisha au atasaidia timu kupata matokeo mapema uwanjani.
Skills yake
Talent yake
Power yake
Fitness yake
Ni mchezaji mzuri na muhimu lakini anatakiwa kubadilika.
Kuna muda mpira unataka uwe mbinafsi...kipindi nacheza kocha wangu marehemu mzee Mokake alikua ananiambia wewe ni forward mtu wa kufunga sasa pasi una mpa nani wkt wao wanatakiwa kukupa wewe ?Mpira ni mchezo mgumu sana hapo hapo unaposema angetoa pasi mwingine atakwambia pale angevuta kidogo apige mwenyewe
Hilo la kukaba ni sawa hakabi sna na hii ni kutoka na majukumu yake uwanjani kama ulivyosema hakuna aliyekamilika
.Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;