Unajidai Mreno kumbe Msukuma ha ha ha haaaa!!![/QUOTE
Ahahahaha, mim ni msukukuma by nature ndugu wala sio uongo! Ila hiyo kujidai umesema, mimi ninachofanya nikuonyesha tu upande wa pili wa mawasiliano mbali na kisukuma ngosha
Habari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....