Tusaidie serikali kutaja sites za porno ili wazi block

Kuzitaja ndio kuzipromote maana watu wataenda kuzikagua kuona zina action gan mpya.
Uwezi zifungia kilichofanyika hapo ni sawa kuwambia watu ni marufuku kula kwa mikono ili watu watumie vijiko na uma.
 
Serikali ilikuwa na Nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa Sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umaskini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.
Kuna hili la kuitwa OK.XXX aisee Kama Kuna uwezekano na hili lifungieni.Nitaorodhesha na mengine ili TCRA wayafanyie kazi.
1.www.xvideos.com
2. www.sextoon.com
3.www.pornhub.com

Niendeee.....???

#YNWA
 
Mimi naona bora ya hizo kuliko site moja ya kitanzania imejaa uchafu wa kushangaza acha kabisa.
Siitaji jina.
 
Akili za wafrika ni za kijinga sana. Wanafikiri wanaakili sana lkn mpk sasa ni masikini. Mbona wazungu wanatengeneza lkn wametushinda maendeleo mpk wanatupa msaada?.
Porno haizuii maendeleo au vijana kutojishughulisha. Changamoto ya kupata kazi yenye hela nzuri.
Serikali ningewaona wamaana sana km wangeruhusu PAYPAL kuliko kuhangaika na huu ujinga (upuuzi).
Kila mtu ni porno star tofauti ni pale, yeye anachukuliwa video na wewe unafanya bila kurekodiwa.
Staili za wacheza ngono, na za kwako zinatofautiana?
Ngoja UWABATA na vijana wa ovyo waje utasikia serikali inaingilia faragha za watu
 
Serikali ilikuwa na Nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa Sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umaskini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.
Kuna hili la kuitwa OK.XXX aisee Kama Kuna uwezekano na hili lifungieni.Nitaorodhesha na mengine ili TCRA wayafanyie kazi.
Nini athari za kufungia site za pono?
 
Teknolojia huwa haizuiliwi. Walifungia Twitter cha ajabu hata yeye Meko alikuwa anapost.
Ukitaka kuingia unaweka VPN tu unaendelea kuona yote
Serikali itengeneze fursa nyingi za ajira maana watu watakuwa busy wanafanya kazi.
Kama ajira hakuna, madanguro mengi yatakuwa yanafunguliwa kila siku.
Leo ukienda kila mkoa, utakuta kuna sehemu wanawake wanajiuza. Kwanini?
Dar ngono wazi wazi wenyewe wanaita kuruka kijoti
1.www.xvideos.com
2. www.sextoon.com
3.www.pornhub.com

Niendeee.....???

#YNWA
 
Zishafungiwa ila cha ajabu bado wanaingia kupitia VPN
Unaingia Play store, unatafuta VPN kisha unainstall
Unachagua nchi km Italy, South Afrika kisha unaendelea na mambo yako
Serikali ingezalisha ajira nyingi ambazo zitawafanya watu wawe busy na maendeleo.
Leo ukienda kila mkoa, utakuta kuna sehemu wanawake wanajiuza
Site za ngono zifungiwe
 
Serikali ilikuwa na Nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa Sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umaskini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.
Kuna hili la kuitwa OK.XXX aisee Kama Kuna uwezekano na hili lifungieni.Nitaorodhesha na mengine ili TCRA wayafanyie kazi.
Tumia hii nguvu kutafuta hela mzee.
 
Back
Top Bottom