Tusaidie serikali kutaja sites za porno ili wazi block

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,557
44,744
Serikali ilikuwa na nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umasikini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.

Kuna hili la kuitwa OK.XXX aisee Kama Kuna uwezekano na hili lifungieni.Nitaorodhesha na mengine ili TCRA wayafanyie kazi.
 
Serikali ilikuwa na Nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa Sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umaskini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.

Watu wanataftaga style mpya tu huko wala hakuna cha ziada
 
Ili uzitaje lazima uzijue, kuzijua lazima ulitumia muda kuzitafuta, kutumia muda kuzitafuta inamaana unamatumizi nazo na unazihitaji...... sasa zifutwe za nn kama unazihitaji?
HUO UNAITWA UNAFIKI WA UTAKATIFU WA MWANADAMU MACHONI PA MWANADAMU.
 
Nazijua ndio na nilikuwa mdau ila kwa ajili ya faida ya kizazi kwa ujumla Basi zifutwe tu
 
Serikali ilikuwa na Nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa Sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull sio kwamba vijana wanapenda kupiga punyeto Bali umaskini wa kukosa pesa ya kuhonga mabinti pamoja na hizi video ndio zinazochochea tabia hizo matokeo yake laana inalitafuna taifa na dunia kwa ujumla kwani uvivu unatamalaki miongoni mwa vijana.tuisaidie serikali angalau ipunguze hili tatizo kwa kutaja machimbo ambayo Bado hayajafungiwa Yale ambayo bila VPN unaweza kutembelea.
Kuna hili la kuitwa OK.XXX aisee Kama Kuna uwezekano na hili lifungieni.Nitaorodhesha na mengine ili TCRA wayafanyie kazi.
Mkuu umeijuaje hiyo? Mimi sikujua ngoja niweke siti bila shaka nitapata site nyingi.
 
Back
Top Bottom