Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 187
- 197
Tangu siku ya kwanza kabla hata ya kuandika code hata moja tulidhamiria kwamba Fuga lazima ijengwe kwa kusikiliza changamoto na maoni ya wafugaji wa kuku.
Kila changamoto ambayo mfugaji anakutana nayo kama kufuatilia matumizi ya chakula, gharama, chanjo au kumbukumbu za kila ndizo zilitujengea misingi ya app yetu.
Leo, Fuga ipo. Lakini bado tunaamini kuwa mafanikio yake yatatokana na wewe.
Tunakusanya maoni kutoka kwa wafugaji kama wewe, ili tuweze kuboresha Fuga na huduma zetu kwa ujumla.
Ikiwa unafuga kuku na hujajaribu app yetu bado tafadhali fanya hivyo na utushirikishe maoni yako ya kweli.
👉 Tumia app na tutumie maoni yako kupitia kiungo kwenye tovuti yetu: www.primaxtz.com