Nenda vingunguti uone ajabu mbuzi anavyo nusa makalio ya watu na kuanza kubebesa!
hahahaDar sio paka tuu hadi mbuzi.
We mbuzi anakunywa bia huyo ni mbuzi?
Mbuzi anakunywa chai na chapati.. Mbuzi hachagui hadi mlenda anapeleka
Kama haya ni maneno yako basi huenda wewe ukawa na wafuasi wengi au wewe ni mtangazaji wa redio maana nimeyasikia redion asubuhi ya July 5 2018Tokea nizaliwe sijawahi kuona kama siyo kusikia Mnyama Paka akikohoa na kupiga chafya ila kwa muda wa Siku kama Nne hivi nimebahatika kulala maeneo tofauti tofauti hapa Jijini Dar es Salaam kama vile Mbezi ya Kimara, Mbagala, Sinza na Tegeta Masaiti na kuona maajabu.
Zamani hapa Dar es Salaam ilikuwa Paka akikuona tu lazima atoke ' Nduki / Akimbie ' lakini kwa miaka ya hivi karibuni Paka ndiye amekuwa akitutoa ' Nduki / Akitukimbiza ' Sisi Wanadamu na kuna muda anaweza akawa anakukimbiza huku anakuita kabisa na jina lako.
Nina wasiwasi mkubwa sana kama Paka wa sasa hivi wa Dar es Salaam ni Wanyama kweli kweli.
Nawasilisha.
Halafu wana dharau sana paka wa dar....hasa Wale wanao shinda bar ,ukimrushia nyama hali, anakuangalia tu kwa dharau sijui anataka mkae nae mezani?
watu wakorofi eti katumia bangi mwandishi
Bangi mbaya dada angu kama na wewe unavuta nakushauri acha kabisa! Bora uvute sigara tuwatu wakorofi eti katumia bangi mwandishi
Tokea nizaliwe sijawahi kuona kama siyo kusikia Mnyama Paka akikohoa na kupiga chafya ila kwa muda wa Siku kama Nne hivi nimebahatika kulala maeneo tofauti tofauti hapa Jijini Dar es Salaam kama vile Mbezi ya Kimara, Mbagala, Sinza na Tegeta Masaiti na kuona maajabu.
Zamani hapa Dar es Salaam ilikuwa Paka akikuona tu lazima atoke ' Nduki / Akimbie ' lakini kwa miaka ya hivi karibuni Paka ndiye amekuwa akitutoa ' Nduki / Akitukimbiza ' Sisi Wanadamu na kuna muda anaweza akawa anakukimbiza huku anakuita kabisa na jina lako.
Nina wasiwasi mkubwa sana kama Paka wa sasa hivi wa Dar es Salaam ni Wanyama kweli kweli.
Nawasilisha.
Kama haya ni maneno yako basi huenda wewe ukawa na wafuasi wengi au wewe ni mtangazaji wa redio maana nimeyasikia redion asubuhi ya July 5 2018
watu wakorofi eti katumia bangi mwandishi
Hogera yako broSiyo mmoja wao ila ninachojua na ambacho nina uhakika nacho ni kwamba 99% ya Watangazaji na Waandishi wa Habari hupenda sana kuja JF na kuchungulia GENTAMYCINE nimeandika / nimekuja na nini kisha nao wanayatumia katika maeneo yao husika. Ushahidi wa hili ninao mwingi tu na ndiyo maana namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa aina ya ' Shani ' yake aliyonipa hadi kufuatiliwa na Watu wengi mno Jamvini. Majibu yangu yote na uhalisia wangu utayapata vyema katika ' Signature ' yangu hii ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' na hata ' threads ' na ' posts ' zangu zote humu huwa nazianzisha kulingana na hayo maneno ' Kuntu ' yaliyomo katika ' Signature ' hiyo.