jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona
kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema,
wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti
na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji
mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana
nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.
Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee!
Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la
huo mmea hata uje na bilioni.