Tusaidiane kuhusu hili

Tusaidiane kuhusu hili

Mansully

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu humu ndani,naulizia mtu yeyote mwenye kujua upatikanaji wa zile ajira za kubeba mizigo Bandarini au airport ama pengine kazi za viwanda vidogo kama vya juice,biscuit au vya sabuni.Ningependa kujua kutoka kwenu kuhusu hili jambo langu.
 
Usijali ndugu yangu jaribu kwenda kwa bakhresa pale tazara unaweza kupata kibarua cha kubeba maboks ya juice.
 
Back
Top Bottom