Tusaidiane kuhusu course work

kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??

Wish nirudi shule course work 16 raha sana wakati nasoma hujafikisha 20 UE utaisikia kwa jirani tu
 

Upo nchi gani wewe
 
Punguza ujuaji. Angalia Havard et al. Utakuta coursework. Sijui umetokea wapi unaandika kwa kukurupuka.

Kwahiyo hao Havard kwako wewe ndiyo Mungu mtu? Kwanini hujatolea mfano labda wa Universities za UDSM, Makerere na Kenyatta? Watanzania bado tuna AKILI za KIKOLONIWA na ndiyo maana hata hao hao wazungu mnaowababaikia mkienda kwao wanawaita MANYANI huku wakiwabagua katika hotel zao na kuwatupieni ndizi na sometimes hadi kinyesi. Nadhani wewe ndiyo umekurupuka na sijui umetokea katika DAMPO gani.
 
Raha sana Course work 16, SMMUCo Course work ni 20/40 afu kuna ASSIG 1 & 2(@5Marks), TEST 1 & 2(@10 Marks) + SEMINAR(10Marks). Karbu Private Universities.
 
You were too authoritative and you left me with no choice. Sikiliza bwana ukiendelea kucopy umasikini kwa kisingizio cha ukoloni, kazi kwako. Kwenye academic institution is so rare to witness racism. Vuta vitabu unavyosomea huko Makerere au UDSM na popote pale vya sayansi, biashara na vinginevyo, na ikiwezekana hata hiyo keyboard unayotumia kama kuna hivyo vyuo. Kufika huko walipo ni lazima tujifunze ABCD vinginevyo tutaendelea kuandika madudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…