Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??
Cha kwanza ujue tofauti ya lecture na lecturer
Cha pili kikubwa cha kuzingatia ukifika chuo ni kwamba
Lecturer wana madaraka makubwa ya kukufanya watakacho
Lecturer ndiye anayeamua kila kitu juu ya course work yako kugoma kukupa kama ulimiss ni kitu cha kawaida sana
Cha msingi soma na usikose test wala quiz usije kujifanya umekizoea chuo
Na usiombe kuuza sura na demu lecturer anayemfukuzia utarudi nyumban utumwe dukani
Ha ha ha aha nimependa hapo usiombe kuuza sura na demu lecturer anamzimia...
nadhani ntakuwa makini hapo..
Hahahaha
Hongereni kwa kujiunga na chuo
Sometimes napamiss sana nikikumbuka huh!
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??
Lakini siyo vyote kwamba lazima ufikishe 16..mfano Udsm pale Coet na Cönas hiyo ya 16 haipo! Mtu unaweza kuwa na chini ya hapo na unafanya ue Kama kawaida...lakini inabidi mtu ujitume Sana!
Cha kwanza ujue tofauti ya lecture na lecturer
Cha pili kikubwa cha kuzingatia ukifika chuo ni kwamba
Lecturer wana madaraka makubwa ya kukufanya watakacho
Lecturer ndiye anayeamua kila kitu juu ya course work yako kugoma kukupa kama ulimiss ni kitu cha kawaida sana
Cha msingi soma na usikose test wala quiz usije kujifanya umekizoea chuo
Na usiombe kuuza sura na demu lecturer anayemfukuzia utarudi nyumban utumwe dukani
ki ukweli kila anayeende univsty lazma kwa sasa ana tension za kuingia maahala pale ..lkn tukipeana taarifa kama zile .unaenda pale ushakuwa mwenyeji kifikra ..kwahiyo mambo ambayo si muhimu tunayeepuka ..
asante for ur thread znanijulisha maana ya vsrty
Ss km bcom -accounting kuna wanafunzi 220 inamaana kila mwanafunzi anafanya presentation?
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??
Mkuu unasoma Chuo Kikuu kweli au Shule za kata? Labda binafsi nisaidie ni Chuo gani hicho chenye course work ya 16? Naomba pia niulize ni course work au ni continuous assessment? Binafsi Chuo changu tuna continuous assessment ya 40% na nilichopo sasa continuous assessment ni 60%. Siku hizi serious universities duniani hawana tena hiyo unayoiita course work na sasa umenisaidia kujua ni kwanini wagombea wote wa Urais moja ya vipaumbele vyao ni suala zima la Elimu. Karne hii kweli kuna chuo bado kina mfumo wa course work? Nimeshtuka na kushangaa mno.
Punguza ujuaji. Angalia Havard et al. Utakuta coursework. Sijui umetokea wapi unaandika kwa kukurupuka.Mkuu unasoma Chuo Kikuu kweli au Shule za kata? Labda binafsi nisaidie ni Chuo gani hicho chenye course work ya 16? Naomba pia niulize ni course work au ni continuous assessment? Binafsi Chuo changu tuna continuous assessment ya 40% na nilichopo sasa continuous assessment ni 60%. Siku hizi serious universities duniani hawana tena hiyo unayoiita course work na sasa umenisaidia kujua ni kwanini wagombea wote wa Urais moja ya vipaumbele vyao ni suala zima la Elimu. Karne hii kweli kuna chuo bado kina mfumo wa course work? Nimeshtuka na kushangaa mno.
So upo Havard? Vyuo vyetu TZ course work ni msamiati wa kawaida sana ndio maana mwenye post alizungumzia hilo. Na hii haimaanishi vyuo vyetu haviko serious. Mpe jibu kuliko kumfanyia ulinganisho na Havard.Punguza ujuaji. Angalia Havard et al. Utakuta coursework. Sijui umetokea wapi unaandika kwa kukurupuka.