Turudi zamani kidogo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Turudi zamani kidogo....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nziriye, Feb 11, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wanajf nimekumbuka na kutafakari nikapenda tushirishane wote hiki kitu,hebu turudi zamani zile za kale kabla ya ugunduzi wa vitu ambavyo tunatumia kama magari,ndege,meli,laptops,cellphones,plasma tv,clothes ,weapons etc...eti jamani maisha yangekuaje:-

  -maisha bila tv wakati umeizoea utaweza?
  -vp kuhusu sie tuliozoea kutembelea jf tungeishi vipi?
  -na wale waliozoea ku-fight sijui wangetumia vijiti au?
  -eti wanajf mliopo nje ya tz mtatumia muda gani kusafiri toka nje ya nchi hadi bongo-land,
  -ndugu yangu mkwere atakuwa anaendaje safari zake zile za kwenda kubembea jamaicar  yani bandugu zangu nina maswali mengi majibu-less,nisaidieni hayo machache tu ,mana duh mambo uchi uchi maria roza yupo kweli mana ...
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 876
  Trophy Points: 280
  Mkwere angetwambia ameota... umesahau zile za mkuu wa nchi kusema ameota kitu fulani kimetokea nchi nyingine.......
   
Loading...