zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Pole sana BroUtoto wangu haukuwa na raha so siwezi tamani kurudi kule
Ooh pole..Utoto wangu haukuwa na raha so siwezi tamani kurudi kule
Thanks alotOoh pole..
Thanks alotPole sana Bro
Nilikuwa na umri wa darasa la kwanza 1984,nilipata ugonjwa ambao nilitakiwa nitibiwe kabla ya kuanza shule(ugonjwa:chini ya kifua mbavu zinakoshia uwa kuna kajitu kanakaba mpk unakaa chini kwa maumivu,jina nimesahau).Sasa ikabidi nipelekwe kwa bibi yangu mbali km 180kms toka home kwa ajili ya matibabu ya kienyeji kwa bibi.Mtoto anamiss nini zaidi ya wali maharage?
Wali maharage tuuu[emoji23][emoji23]
sawa juniorKulazimishwa kula
hii kiboko siku ukipikwa home nilikua sichezi mbaliMtoto anamiss nini zaidi ya wali maharage?
Wali maharage tuuu[emoji23][emoji23]