Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 79
Jiwe aliharibu utaratibu unaotumika dunia nzima! it is now chaotic!Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya kusoma Vyuo Vikuu kwa kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU. CAS ilionekana kuwa na mapungufu kwa Mujibu wa Mheshimiwa Rais kuwa TCU inapangia wanafunzi vyuo wasivyoomba (japo possibility ni ndogo sana) na kuwa kuna Vyuo vinafanya ujanja ili vipate wanafunzi; pamoja na hayo yote kuna haja ya kurudfia huo mfumo na tuuboreshe kidogo kuondoa kasoro za hapo awali.
Faida za CAS:
1. Mwanafunzi anakuwa na account moja tu, hivyo ni rahisi kufanya maombi ya chuo na kufuatilia selectio status.
2. Mwanafunzi akikosa selection ktk round one ni rahisi kwake kupitia account yake moja kufanya application ya second round
3. Itakuwa rahisi kutoa majina kwa wakati mmoja kuliko sasa (mfano second round vyuo vingi vmechelewa sana kutoa majina)
Na faida nyinginezo nyingi.
Katika kurudisha huko kwa CAS TCU itahakikisha kuwa:-
1. wakati wa selection Vyuo Vikuu vyote vinashirikishwa ktk zoezi hilo ili kuondoa malalamiko ya kuwa kuna Vyuo vinapendelewa kupangiwa wanafunzi.
2. System kuwa rafiki zaidi kuwa inatoa status wkt wa kuchagua program ili mtu aombe only programs ambazo yuko qualified (mfano system ya MoCU)
3. System iwe inatoa status ya kuwa program imejaa ili watu waache kuichagua, mfano kama BSc. Computer Science ya UDSM inauwezo wa kuchukua wanafunzi let say 100, kukiwa na applicant like 200 system isipokee maombi mengini zaidi hivyo kuwapa wanafunzi fursa sahihi ya kuomba programs zilizo empty.
Haya ni kwa uchache, najua zipo faida nyingi za kuirudisha CAS.
Nawasilisha
Heko!Jiwe aliharibu utaratibu unaotumika dunia nzima! it is now chaotic!
Dunia nzima inatumia mfumo kama huu tunaotumia sisi.Jiwe aliharibu utaratibu unaotumika dunia nzima! it is now chaotic!
Haaaa wew hujui watu walikua wanalia sana mfano unaambiwa jaza kozi nane unazotaka kusoma unajaza kozi zipi maana hapo lazima list ijae alafu unachaguliwa ya mwisho , ni kweli watu walikua wanapata chuo je walikua wanapenda chuo na kozi aliyopelekwaCAS haikuwa na utaratibu wa kumpangia mtu chuo ambacho hakukichagua..na kama hiyo ilikuwa inatokea ni kwa wale wa round za mwisho kabisa waliokosa vyuo mwanzoni...
Hahaha..sasa wewe mbona ndo hujui..CAS ulikuwa unapewa kozi tano na unazipanga kwa priority..na kwenye kuchaguliwa wanafuata order..ambapo ya kwanza uliyochagua ukitemwa unaenda ya pili hivohivo hadi ipatikane unayofit..Haaaa wew hujui watu walikua wanalia sana mfano unaambiwa jaza kozi nane unazotaka kusoma unajaza kozi zipi maana hapo lazima list ijae alafu unachaguliwa ya mwisho , ni kweli watu walikua wanapata chuo je walikua wanapenda chuo na kozi aliyopelekwa
here Yenu Nyie Mliopita Kwenye Mfumo Wa Cas Mlikuwa Mnajua Mapema Kama Mmekosa Chuo Sisi Wenzenu Tuliopo Kwenye Mfumo Wa Kubuniwa Kwenye Majukwaa Ya Siasa Ili Upigiwe Makofi Still To Now Atujua Ata Kama Tumekosa Chuo Mana Majna Yetu Tcu Wameyapenda Zaidi Awataki KutuludishiaWanafunzi wengi kukosa chuo haimaanishi mfumo mbovu inamaana ulichoomba umekosa

Yeah, you are right kbs, though Mkuu alisema kuwa kulkuwa na huo mchezo, japo siamini kama it happenede kwa % kubwa kihivyoCAS haikuwa na utaratibu wa kumpangia mtu chuo ambacho hakukichagua..na kama hiyo ilikuwa inatokea ni kwa wale wa round za mwisho kabisa waliokosa vyuo mwanzoni...
Uko sahihi, tungeboresha mfumo ili uwe bira zaidi na sio kuutupilia mbaliKiukwel CAS ilikuwa nzur japo kuwa kizur hakikosi kasoro kwa uzoefu wangu tuliopitia tulipata course tulizohitaji naamini changamoto zingetatuliwa tungepata njia bora zaid ambayo ingepunguza inconvenience wanazopitia wenzetu ila kwa sasa maamuzi yameshafanyika there is no way out
Brother, kama umeambiwa uchague kozi tano, ukachagua unazotaka wewe ukaipata ya mwisho hapo unalalamikaje? kama ulkuwa huitaki si hauichagui bro? System ilkuwa inataka kujaza maximum kozi tano, me nilijaza tatu tu, why nijaze tano wkt sizihitaji!!! na nkapata ya kwanza!!! so kupata kozi ya mwisho wkt ww mwenyewe uliiweka unalaumuje system?Haaaa wew hujui watu walikua wanalia sana mfano unaambiwa jaza kozi nane unazotaka kusoma unajaza kozi zipi maana hapo lazima list ijae alafu unachaguliwa ya mwisho , ni kweli watu walikua wanapata chuo je walikua wanapenda chuo na kozi aliyopelekwa
Warudishe CASWanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya kusoma Vyuo Vikuu kwa kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU. CAS ilionekana kuwa na mapungufu kwa Mujibu wa Mheshimiwa Rais kuwa TCU inapangia wanafunzi vyuo wasivyoomba (japo possibility ni ndogo sana) na kuwa kuna Vyuo vinafanya ujanja ili vipate wanafunzi; pamoja na hayo yote kuna haja ya kurudfia huo mfumo na tuuboreshe kidogo kuondoa kasoro za hapo awali.
Faida za CAS:
1. Mwanafunzi anakuwa na account moja tu, hivyo ni rahisi kufanya maombi ya chuo na kufuatilia selectio status.
2. Mwanafunzi akikosa selection ktk round one ni rahisi kwake kupitia account yake moja kufanya application ya second round
3. Itakuwa rahisi kutoa majina kwa wakati mmoja kuliko sasa (mfano second round vyuo vingi vmechelewa sana kutoa majina)
Na faida nyinginezo nyingi.
Katika kurudisha huko kwa CAS TCU itahakikisha kuwa:-
1. wakati wa selection Vyuo Vikuu vyote vinashirikishwa ktk zoezi hilo ili kuondoa malalamiko ya kuwa kuna Vyuo vinapendelewa kupangiwa wanafunzi.
2. System kuwa rafiki zaidi kuwa inatoa status wkt wa kuchagua program ili mtu aombe only programs ambazo yuko qualified (mfano system ya MoCU)
3. System iwe inatoa status ya kuwa program imejaa ili watu waache kuichagua, mfano kama BSc. Computer Science ya UDSM inauwezo wa kuchukua wanafunzi let say 100, kukiwa na applicant like 200 system isipokee maombi mengini zaidi hivyo kuwapa wanafunzi fursa sahihi ya kuomba programs zilizo empty.
Haya ni kwa uchache, najua zipo faida nyingi za kuirudisha CAS.
Nawasilisha
Nasema tena CAS irudi.Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya kusoma Vyuo Vikuu kwa kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU. CAS ilionekana kuwa na mapungufu kwa Mujibu wa Mheshimiwa Rais kuwa TCU inapangia wanafunzi vyuo wasivyoomba (japo possibility ni ndogo sana) na kuwa kuna Vyuo vinafanya ujanja ili vipate wanafunzi; pamoja na hayo yote kuna haja ya kurudfia huo mfumo na tuuboreshe kidogo kuondoa kasoro za hapo awali.
Faida za CAS:
1. Mwanafunzi anakuwa na account moja tu, hivyo ni rahisi kufanya maombi ya chuo na kufuatilia selectio status.
2. Mwanafunzi akikosa selection ktk round one ni rahisi kwake kupitia account yake moja kufanya application ya second round
3. Itakuwa rahisi kutoa majina kwa wakati mmoja kuliko sasa (mfano second round vyuo vingi vmechelewa sana kutoa majina)
Na faida nyinginezo nyingi.
Katika kurudisha huko kwa CAS TCU itahakikisha kuwa:-
1. wakati wa selection Vyuo Vikuu vyote vinashirikishwa ktk zoezi hilo ili kuondoa malalamiko ya kuwa kuna Vyuo vinapendelewa kupangiwa wanafunzi.
2. System kuwa rafiki zaidi kuwa inatoa status wkt wa kuchagua program ili mtu aombe only programs ambazo yuko qualified (mfano system ya MoCU)
3. System iwe inatoa status ya kuwa program imejaa ili watu waache kuichagua, mfano kama BSc. Computer Science ya UDSM inauwezo wa kuchukua wanafunzi let say 100, kukiwa na applicant like 200 system isipokee maombi mengini zaidi hivyo kuwapa wanafunzi fursa sahihi ya kuomba programs zilizo empty.
Haya ni kwa uchache, najua zipo faida nyingi za kuirudisha CAS.
Nawasilisha
CAS irudishwee.Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya kusoma Vyuo Vikuu kwa kupitia Central Admission system (CAS) ya TCU. CAS ilionekana kuwa na mapungufu kwa Mujibu wa Mheshimiwa Rais kuwa TCU inapangia wanafunzi vyuo wasivyoomba (japo possibility ni ndogo sana) na kuwa kuna Vyuo vinafanya ujanja ili vipate wanafunzi; pamoja na hayo yote kuna haja ya kurudfia huo mfumo na tuuboreshe kidogo kuondoa kasoro za hapo awali.