Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,547
- 34,873
Ila tukiangalia kiuhalisia ndege kama hizi sidhani kama zitafua dafu kwenye makabiliano na ndege za Marekani kama F-15 na F-16 achilia mbali F-22.Tokea statements za nyuma hapa nishaeleza ninavyochanganya ndege za Mikoyan Gurevich na za Sukhoi. Nachanganya helicopter za Mil na za Kamov, si kila nikitaja napatia kampuni ipi ilitengeneza tatizo makampuni haya sio private na hivi siku hizi uote yako chini ya UAC inaniwia ngumu zaidi.
Niko sahihi, North Korea wanazo Mig-29 chache.View attachment 1370098View attachment 1370099