Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,584
2,000
Inasemekana wanaweza kuwa zaidi ya 40 dead.
Mchana wa Leo urusi walisema Askari wa turkey wanazifyatulia makombora ndege za urusi,Basi mchana wakaua Askari watatu wa turkey,,shambulizi la Sasa limetokea mda mfupi uliopita,waturuki wanategemea kujibu
Hilo shambulia lililoua hao askari wa Uturuki lilifanywa na Syria au Urusi?

Inaonekana Uturuki imejaza askari wengi sana mpaka maeneo ambayo ni military targets nje ya hizo observation posts zao ndio maana wanajikuta wanashambuliwa kila mara.

Japo nimesikia hawa waasi kuna baadhi ya vijiji na barabara muhimu walizopoteza awali kwa majeshi ya Assad ila wamefanikiwa kuzirejesha.
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Kuna rocket zimetunguliwa zilikua zinaelekea base ya Mrusi

Air defenses at #Syria’s Hmeimim air base intercept two missiles fired from #Turkish soil

Inasemekana wanaweza kuwa zaidi ya 40 dead.
Mchana wa Leo urusi walisema Askari wa turkey wanazifyatulia makombora ndege za urusi,Basi mchana wakaua Askari watatu wa turkey,,shambulizi la Sasa limetokea mda mfupi uliopita,waturuki wanategemea kujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Mm nina wasiwasi na huyu Mrusi alikua anataka kimnyoosha huyu member wa NATO kama kuonyesha Nato makali yake kwa mabaali

#BREAKING: #Turkish Air Force (#THK) F-16Cs from 8nci AJÜ at #Diyarbakir had been sent over #Idlib to provide top cover for the #Turkish Army S-70A evacuating wounded & dead #Turkish soldiers but they were intercepted by #Russian fighter jets (probably Su-35s)CHA kushangaza Nato wako kimya mwenzao anakula kichapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Jamaa anajua kucheza nao hahahaha hii game

#BREAKING: Multiple #Russian fighter jets are reported to be flown from #Hmeimim Air Base minutes ago. It is possible that #Russia wants to retaliate any possible strike of #Turkey at #Syrian Arab Army bases in #Hama & other cities of #Syria!
(Archive images by #Russia MOD)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,535
2,000
duh.....hatareeeee sana hiii mbona Uturuki kaachwa mwenyewe na washirika wake mbona atachakazwa
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,547
2,000
Hao Turkey si walikataa kununua F-35 stealth fighters jets za wamarekani na kwenda kununua mifumo ya ulinzi ya urusi S 400 kipi kimewapata tena?
Hata angezinunua ilikuwa lazima ale kichapo maana kajiingiza kwenye ligi ya wababe wakati ubavu wake ni mdogo.
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,547
2,000
Hilo shambulia lililoua hao askari wa Uturuki lilifanywa na Syria au Urusi?

Inaonekana Uturuki imejaza askari wengi sana mpaka maeneo ambayo ni military targets nje ya hizo observation posts zao ndio maana wanajikuta wanashambuliwa kila mara.

Japo nimesikia hawa waasi kuna baadhi ya vijiji na barabara muhimu walizopoteza awali kwa majeshi ya Assad ila wamefanikiwa kuzirejesha.
Shabulizi limefanywa na sirya.
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,612
2,000
NATO Bado Haijapata Uhalali Wakumsaidia Vita TURKEY Sababu Vita Haipiganwi Ndani Ya Mipaka Ya UTURUKI Kwahio Kama Wataamua Kumsaidia TURKEY Akiwapale SYRIA Wanakua Tayari Wanakiuka Mkataba Wao Wenyewe Natayari Wanatangaza Vita Na RUSSIA Jambo Ambalo Sidhanii Kama Hata Wao Watapenda Ama Wanapenda Litokee
Daa hata mm naona maswaiba zake wamemkimbia.
Ila Kwaninacho Kihisi Mimi Kama Mimi Nakukiona Hatakama TURKEY Atatokea Anachapwa Mle Mle Ndani Basi Jamaa Watamkataa Kikubwa Watakachofanya Watakua Wanamtafuta Mbadala Wa ERDOGAN Wakati Vita Ikiwa Inachanja MBUGA Maana Kiuhalisia Hata Hao NATO Wenyewe Hawamuelewi ERDOGAN Kwamaana Haeleweki

Ila Tuupe Muda Nafasi Yake Kwanza......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Nato wamemuambia kuwa Atafute suluhu na Russia.
NATO Bado Haijapata Uhalali Wakumsaidia Vita TURKEY Sababu Vita Haipiganwi Ndani Ya Mipaka Ya UTURUKI Kwahio Kama Wataamua Kumsaidia TURKEY Akiwapale SYRIA Wanakua Tayari Wanakiuka Mkataba Wao Wenyewe Natayari Wanatangaza Vita Na RUSSIA Jambo Ambalo Sidhanii Kama Hata Wao Watapenda Ama Wanapenda Litokee
Ila Kwaninacho Kihisi Mimi Kama Mimi Nakukiona Hatakama TURKEY Atatokea Anachapwa Mle Mle Ndani Basi Jamaa Watamkataa Kikubwa Watakachofanya Watakua Wanamtafuta Mbadala Wa ERDOGAN Wakati Vita Ikiwa Inachanja MBUGA Maana Kiuhalisia Hata Hao NATO Wenyewe Hawamuelewi ERDOGAN Kwamaana Haeleweki

Ila Tuupe Muda Nafasi Yake Kwanza......

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Urusi yawaonya tena Uturuki iondoke kwenye mipaka ya Syria na Warudi kwao Uturuki kuna mashambulizi anataka kufanya Russia mwenyewe, taari Su-25 kama 30 zinajitaarisha na mashambulizi

#BREAKING: Minutes ago, #Russian officials warned #Turkish government to not have #Turkish Army troops outside their observation posts in #Idlib, #Syria because they will be targeted by #Russia Air Force!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hammaz

JF-Expert Member
May 16, 2018
3,659
2,000
Uturuki ameshawafungulia wakimbizi huko. Anawapelekea member wenzake wa NATO salamu.
 
Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,092
2,000
Hapo kwa Hezbollah umechanganya, hiyo haiko Syria iko Palestine inapambana na Israel. Pia S-300 zimeuzwa muda si mrefu hivo bado jeshi la Syria lilikuwa halijaanza kuzitumia bado walikuwa wanafundishwa na Warusi. Na kwakuwa Warusi wako na operation kule lazima wawe na washauri wa kivita na team kadhaa ya kuoperate hizo base walizonazo. Hata special forces hutumwa kusaidia. Na hakuna Su-57 iliyoenda kupigana uko, hiyo ndege ni level za juu sana kupigana na waasi. Mig-25 tu inatosha.
Hezbollah wapo Syria japo siyo wengi..kasome tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,092
2,000
Duh, yaani ww, unasema Iran hana uwezo wa kumpiga Turkey na kwa kila kitu Turkey anamzidi Iran?? Mkuu ww unaijua Iran au ulikusudia Iraq mkuu?? Unajua Super Power ya Mashariki ya kati ni ipi kwa sasa?? Unajua Iran pekeake ndio anauwezo wa kumpa mikwala marekani na akaufyata?? Unajua nchi pekeake apo mashariki ya kati yenye uwezo wa kutengeneza silaha kali na defense system home made ni Iran pekee?? Unajua kuwa Iran ana missiles underground ambazo ni siri hazijulikani uwezo wake?? Unajua ulaya ilijitenga kutoshiriki shambulizi lolote dhidi ya Iran kutoka Marekani kutokana na Iran kutoa vitisho kuwa anaweza kuhit target popote mashariki ya kati Africa na Ulaya??

Iran said it will retaliate. It did

It said it will not use proxies. It didn't

It said it'll target military assets. It did

Message is clear: They will do what they say

Now they say they'll target all US bases in the region if Trump escalates further.

Take them at their word

Usifananishe Iran na Uturuki mkuu, hivyo ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi Misri yupo juu ya wote Turkey na Iran!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom