Wataalam wa mambo wanasema ule ni mpango wa rais mwenyewe akitaka nchi ibadilike iwe republic ili awe na nguvu zaidi.. So katumia coup ya uongo kuwatisha RAIA kuingia kwenye kura ya maoni..
Ingekua mpango wa hawa jamaa 2 uliowataja muda huu tungekua tunaongea hadithi mpyaVery possible...wengine wanasema ni mpango ulio sukwa na USA and Israel, lengo likiwa ni kuidistabalise turkey
Kwani huyo Mmarekani hafeli katika hizo hila zake? Hizo zote ni habari bila uhakika , ni Sawa na twin towers kule N. YorkIngekua mpango wa hawa jamaa 2 uliowataja muda huu tungekua tunaongea hadithi mpya
Ehh ndo dunia ya sasa, watu walokuwa hawajawahi hata kuingia Turkey au kuijua Turkey watakuelezea mambo utafkiri wamezaliwa huko.The so called " Turkey Faile Coupe is a fake one, what kind of a military coup where they take over 2 cities with 7 tanks, 2 helicopters, some generic explosions and jet fighters flying low ground to be recorded by cameras, happened at 10pm and ended in a few hours, no Politicians arrested, later 1400 troops and a few highrank officials got captured by the government, no organize, no fought back, Judges get fired afterward. I mean come on!
Nakusudia twin towers ni habari zisizo na uhakika, maana kuna watu wengi wanasema ni wao wenyewe (serikali) ilipanga ili ipate kuvamia nchi nyengine. Si ajabu na hio ya Uturuki ikawa ni hivyo au wamefeli kama walivyofeli Kwa Castro (ghuba ya nguruwe- bay of pigs).Kwenye twin towers alifeli nini?
Sijasema kama akili yako ni ndogo, ni hivi....twin towers (wengine mpaka Leo wanasema ni mango wa serikali) ili wavamie mataifa mengine, SIJABISHA kuwa wamefanikiwa kuvamia nchi kama Afghanistan, Iraq n.kHapo bado haujasimama kwenye point.sasa kama ilikua ni trick kwamba wajipige wapate kuvamia serikal zingine kwa ile hadith ya jiwe moja ndege wawili huoni kwaba walifanikiwa azma yao...niambie kwamba tangu sept 11 nchi ngapi zimeangushwa kwa kisingizio cha ugaid plus democrasia? Hio ni kufeli ama kufaulu kwenye plan zao labda akili yangu ndogo sielewi
Ningeshangaa sana kama kwenye conspiracy theories zenu USA na Israel wangekosa. Nyie jamaa bana mtakuja chukuliwa wake zenu mseme ni mpango wa USA/IsraelVery possible...wengine wanasema ni mpango ulio sukwa na USA and Israel, lengo likiwa ni kuidistabalise turkey
Ingekua mpango wa hawa jamaa 2 uliowataja muda huu tungekua tunaongea hadithi mpya
Hahahaha Israel na USA wabasababisha maisha yanakuwa nagumuNingeshangaa sana kama kwenye conspiracy theories zenu USA na Israel wangekosa. Nyie jamaa bana mtakuja chukuliwa wake zenu mseme ni mpango wa USA/Israel
Dunian hp kila conspiracy watu watakwambia ni USA..ikitokea kwe jumuiya ya kiarabu ataongezwa na israelVery possible...wengine wanasema ni mpango ulio sukwa na USA and Israel, lengo likiwa ni kuidistabalise turkey
Habari ya 911 ni mziki mwengine.Nakusudia twin towers ni habari zisizo na uhakika, maana kuna watu wengi wanasema ni wao wenyewe (serikali) ilipanga ili ipate kuvamia nchi nyengine. Si ajabu na hio ya Uturuki ikawa ni hivyo au wamefeli kama walivyofeli Kwa Castro (ghuba ya nguruwe- bay of pigs).