Tupunguze lawama kwa wanawake

Tupunguze lawama kwa wanawake

Kambonna

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
175
Reaction score
69
Habari wanajamvi,

Kuna hili swala ambalo nimekuwa nikilifikiria kwa muda sana lakini majibu yake sipati.Swali ambalo najiuliza kwanini wanaume tunawalaumu sana hawa mama zetu na dada zetu kuwa ni wasaliti, sio watu wazuri,sio waaminifu n.k.Mimi nadhani(kwa maoni yangu).Mwanamke kuwa msaliti mara nyingi (not all cases),chanzo huwa ni mwenendo wetu sisi wanaume kubadilika especially unapokuwa umeisha mzoea mpenzi wako au mkeo.Wanawake by nature ni watu ambao ni weak an always they need maximum protection,caring n.k.

Na sio kwa case zote lazima uwe strong financially only being there for her inaweza kukupa credits.Wanawake hawa wanapopata penzi la kweli ni watu wazuri sana,wenye huruma,wavumilivu na wenye kuthamini utu wa mtu. Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kutowatendea haki ya asili yao kuwapa upendo wa dhati na mwisho tunategemea wao waendelee kutupenda hivyohivyo regardless fake treatment tunazowapa na vituko vingine.

Kumbuka hawa ni binadamu nao pia huwa wanachoka.Inapofikia point mwanamke amechoka huwa ndio nitolee wakati ambao ndio mwanaume unastuka na kuanza kulalama ooh wife yupo hivi, mara kafanya vile, swali la kujiuliza wewe mwanaume ni hili je ulitimiza wajibu wako kama mwanaume?Ulitekeleza yote uliyoahidi mbele za mungu wakati wa ndoa? Ya kumpenda kwa shida na raha? Au kama ni mpenzi zile siku za mwanzo mapenzi yakiwa moto ulitekeleza ahadi ulizomuahidi,kwa mfano,nitakupenda maisha yangu yote sintaruhusu umwage chozi kwaajili yangu n.k.Kama hukuyafanya usitegemee positive response kutoka kwa mwenzi wako.

Hapo ndipo hutoacha ona kila aina ya rangi utatamani dunia ipasuke uingie coz hawa wenzetu(wanawake),they are very smart in playing games and revange.Kitu kingine nadhani sisi wanaume tunachokosea ni kutaka watoto wazuri ambao wakati mwingine sio class yako unajibalaguza you can afford her kwa kuungaunga mwisho unashindwa mhudumia then unaanza lalamika ooh anapenda hela,sio mvumilivu n.k.

Wewe umemkuta mwanamke kwao alikuwa amezoea huduma ambazo ni classic badala ya kutengeneza mazingira ambayo yatamfanya aridhie na kukubali kama ulivyo ili hata itakapotokea umekwama awe tayari kuwa na wewe unamuapproach as if you also belongs to that category, mwisho wa siku she will demand the same treatment coz hukuwa wazi alafu unaanza kulalamika wakati chanzo ni wewe. Hitimisho wanaume tujaribu kuwa na mtizamo tofauti kidogo na hawa mama zetu na dada zetu mimi binafsi nadhani ni watu wazuri tu kama tutaishi nao kwa mapenzi ya dhati.

NB: Huo ni mtazamo wangu but kila mtu anao wa kwake.

Karibuni tuchangie matusi kejeli havijengi
 
mkuuu kuna wanawake mabandidu mpaka unatamani atendewe usaliti na mume waje

sio wote wanastahili huruma wengine ni waonevu sana kwa waume zao

Kuna wengine wanatoa papuchi mara moja kwa mwezi ni wahuni

kwa hiyo nadhani kila mmoja asimame kwa nafasi yake kuepuka usaliti na si vinginevyo
 
mkuuu kuna wanawake mabandidu mpaka unatamani atendewe usaliti na mume waje

sio wote wanastahili huruma wengine ni waonevu sana kwa waume zao

Kuna wengine wanatoa papuchi mara moja kwa mwezi ni wahuni

kwa hiyo nadhani kila mmoja asimame kwa nafasi yake kuepuka usaliti na si vinginevyo

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa ila nadhani kama uliweza kukaa na mtu muda wote wa mapenzi na uchumba then akiwa wife ndo abadilike lazima kutakuwa na kitu.tatizo letu wanaume tunaangalia wao wametukosea nini hatuangalii mapungufu na makosa tuliyonayo kwao.

kwetu sisi imekuwa kama ni haki kusali kawaida kuwa na mchepuko wao pia ni binadam unadhani atakuwa na feeling za kukupa papuchi kila siku wakati anahisi ananyanyasika kimapenzi.Mkuu ili swala kugegedana liwe na furaha haitakiw mmoja wenu awe na kinyongo au chuki na mwenzake,kama itakuwa hivyo basi jua utakuwa unabaka cz hatokuwa psychologically amejiandaa.
 
Ni kawaida kuona mata.ko ya mwenzio ila yako huyaoni..endeleeni tu kutukagua
 
Mkuu upo sahihi kabisa na maelezo yako yameshiba kisawasawa, mimi sina cha kuongezea hapo ila nawashauri walio kwenye ndoa fuateni ushauri wa huyu jamaa na ambao mpo kwenye mchakato wa kuoa muwe wazi kwa wachumba zenu
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa ila nadhani kama uliweza kukaa na mtu muda wote wa mapenzi na uchumba then akiwa wife ndo abadilike lazima kutakuwa na kitu.tatizo letu wanaume tunaangalia wao wametukosea nini hatuangalii mapungufu na makosa tuliyonayo kwao.kwetu sisi imekuwa kama ni haki kusali kawaida kuwa na mchepuko wao pia ni binadam unadhani atakuwa na feeling za kukupa papuchi kila siku wakati anahisi ananyanyasika kimapenzi.Mkuu ili swala kugegedana liwe na furaha haitakiw mmoja wenu awe na kinyongo au chuki na mwenzake,kama itakuwa hivyo basi jua utakuwa unabaka cz hatokuwa psychologically amejiandaa.

mkuu ndo maana nakwambia ulichokiongea umeeongea kwenye mkondo mmoja ambao ni wa wanaume(japo keeli ni wengi) ila kuna wanawake hata kama mume hachepuki yeye anachepuka lakin pia vituko vile vinapelekea tu mume kuchepuka
 
Kambonna

bado hujatendwa, au unafichwa.......
I have never seen a complex compound like a science of a woman in the world.
 
Last edited by a moderator:
Kambonna

Chief most women don't know what they want. Unaweza kutoa hilo penzi la dhati unalozungumzia ikala kwako. Unaweza kufikiri tatizo ni hela, wangapi wamepewa nyumba, magari lakini bado.
Wanawake wa zamani ndio walikuwa wanavumilia sio wa siku hizi. Wanawake wana mapungufu mengi, Mwanaume unatakiwa um-treat mwanamke kama mtoto (sio kila mda), ukimkumbusha kwa makofi kadhaa (sio kila mda) pia sio mbaya. Kuwa na uwezo wa kum-control basi, ukishindwa ndio hivo atakuzingua.
 
Last edited by a moderator:
Chief most women don't know what they want. Unaweza kutoa hilo penzi la dhati unalozungumzia ikala kwako. Unaweza kufikiri tatizo ni hela, wangapi wamepewa nyumba, magari lakini bado. Wanawake wa zamani ndio walikuwa wanavumilia sio wa siku hizi. Wanawake wana mapungufu mengi, Mwanaume unatakiwa um-treat mwanamke kama mtoto (sio kila mda), ukimkumbusha kwa makofi kadhaa (sio kila mda) pia sio mbaya. Kuwa na uwezo wa kum-control basi, ukishindwa ndio hivo atakuzingua.

Unacho kisema mkuu ni kweli nakubaliana na wewe ila ushauri wangu ni kwamba at least na sisi wanaume we need to be fair kwao kiasi fulani itapunguza matatizo ndani ya mahusiano.
 
Unacho kisema mkuu ni kweli nakubaliana na wewe ila ushauri wangu ni kwamba at least na sisi wanaume we need to be fair kwao kiasi fulani itapunguza matatizo ndani ya mahusiano.


Mkuu hapo ~we need to be fair~ unamaanisha nn , tafasiri yake
 
Mkuu hapo ~we need to be fair~ unamaanisha nn , tafasiri yake

Mkuu mara nyingi wanaume wengi huwa wanadhani hawana makosa they mostly count kwenye makosa ya wenza wao lkn in reality hata sisi tunawakosea sana hawa viumbe,mama zetu.
 
Mkuu mara nyingi wanaume wengi huwa wanadhani hawana makosa they mostly count kwenye makosa ya wenza wao lkn in reality hata sisi tunawakosea sana hawa viumbe,mama zetu.

Hapo sawa _ nishakupatA
 
Maneno yako sahihi, kila mtu anatakiwa asimame katika nafasi yake, mtakuwa mmepunguza migogoro ya ndoa kwa kiasi kikubwa sana.
 
Omba mungu yasikukute, utasahahu yote uliyosema hapo.
 
Unacho kisema mkuu ni kweli nakubaliana na wewe ila ushauri wangu ni kwamba at least na sisi wanaume we need to be fair kwao kiasi fulani itapunguza matatizo ndani ya mahusiano.

Mdau nakubaliana na wewe kuwa na sisi tunawakosea wanawake. Najua kuwa wanawake wanatuhitaji ili tuwapende, tuwaheshimu, tuwashauri, tuwaelekeze n.k. Tatizo ni kuwa, mapenzi ya dhati ni adimu kama almasi. Ukifanikiwa kuyapata kwa sababu yapo, utafurahi na hayo matatizo yatakuwa adimu. Usipoyapata hata ucheze 'fair' vipi, mtakuwa mnazinguana sana.
 
Back
Top Bottom