Magumashi kama kawaidaAmeshafanya nini cha kupata hizo pongezi
Siku ukipata muujiza wa kuishi kidogo abroad utaelewa kwanini balozi anasifiwa na mwingine anapondwa.Hivi kuna wabongo bado wana muda wa ku deal na balozi tu? Kwa kisa gani kwa mfano?
Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.Siku ukipata muujiza wa kuishi kidogo abroad utaelewa kwanini balozi anasifiwa na mwingine anapondwa.
Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.
Unapo assume unajianika ujinga wako tu.
Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.
Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
Hahah when mongoose meet Lion.Tatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.
Unapo assume unajianika ujinga wako tu.
Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.
Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
Siku ukipata muujiza wa kuishi kidogo abroad utaelewa kwanini balozi anasifiwa na mwingine anapondwa.
hongera sana mkuuTatizo unaona muujiza kuishi abroad wakati watu wanaona muujiza kurudisha nyuma muda.
Unapo assume unajianika ujinga wako tu.
Abroad nimeishi miaka 20. Nchi ambayo balozi ndugu yangu wa karibu kabisa. Naitwa nyumbani kwa balozi nikakae na kina Kikwete na sijaenda. Niko kwenye shughuli zangu muhimu.
Acha ku assume assume tu kwamba wewe tu ndiye umekaa abroad na mtu akiponda habari za balozi hajakaa abroad.
Hongera ya nini sasa?hongera sana mkuu
Hiyo sio kawaida kwa mtanzania wa kawaidaHongera ya nini sasa?