Tupishane tu kwa mawazo haina haja kunitukana kuwa Mimi ni CCM. Tufanye siasa za kistaarabu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Mimi siamiani katika siasa za uadui.lakini hii haimaanishi kuwa sasa mtu mwingine awe huru tu kunitukana matusi makubwa makubwa.kwanini tusibishane kwa hoja tu?

Nmesikitika sana leo nikiongea mambo ya siasa na vijana wenzangu sehemu moja halafu mwendawazimu mmoja akajitokeza na kunambia "wewe utakuwa CCM" tusi hilo lilinifanya nisahau utamaduni mzuri nliokuwa nao wa kuvumiliana.

Nlifanya kitendo kisicho cha kiungwana kwa kumgonga na mkono ambao tayari nlikuwa nmeuviringa vidole vyote pamoja na kutengeneza kitu kama nyundo.nikiwa nmeviringa namna hiyo niliusukuma kuelekea kwenye uso wake.

Nao ukaenda na kukita kwenye pua kwa kishindo na kumsababishia jamaa apoteze balance na kwenda chini huku akitoa maji maji mekundu puani.

Kiukweli ni zaidi ya miaka 35 sijawahi fanya tendo kama hilo la kuviringa vidole na kumsukumia mtu.lakini leo imenitokea baada ya kuona natukanwa kwa kiwango kikubwa sana.kuitwa mimi ni CCM.

Nmewaza mimi leo hii akili yangu inafananishwa na watu kadhaa prominent katika sisiem?why nichukiwe hivyo na kutukanwa matusi ya wazi wazi kabisa?

Nasisitiza, tusitafutiane kesi.nitukane matusi yoyote ila usiniite ccm. Naweza nikawa nakubaliana na mambo kadhaa ya kimsingi anayofanya rais kwa ukenge ufu wa kawaida kabisa kama binadamu mwingine yeyote.nobody is perfect.ila siyo ndo nitukanwe kuwa mimi ni CCM.
 
Najisikia fahari kuwa mwanaCCM katika kizazi hiki kwa sababu

1. Ni CCM ndio inayonifanya nijivunie utanzania wangu

2. Ni CCM ndio inanifanya niitangaze nchi yangu na mafanikio yake

3. Ni CCM ndio inayotangaza amani na mshikamano wa kweli.

4. Ni CCM ndio chaguo namba moja la mtanzania na Tanzania
 
Huyo mwenzako yeye kaamua kupigana kabisa kwa kuitwa ccm. Yaani sasa hivi ni tusi kumuita mtu ni mccm.
 
wewew utakuwa Dogo sana,
hujawahi kuwa NCCR ya akina Masumbuko Lamwai, Marando na akina Mrema
umeikuta CHADEMA basi ukajua ndio mwisho wa siasa mpaka unapigana
achana na siasa, walikuwepo kina Makamba na Baba yake sembuse January Makamba na Baba yake
vitu vinapita, Mtei kapita Bob na hata Mbowe
usije pigana tena
 
Tanganyika jeki.
CIMG4859.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nani kakukataza kuipenda ccm?

Unavyo jisikia wewe kuipenda ccm ukawa huru basi na wenzako wanao upenda upinzani waheshimu maana na wao wanatumia uhuru wao
Najisikia fahari kuwa mwanaCCM katika kizazi hiki kwa sababu

1. Ni CCM ndio inayonifanya nijivunie utanzania wangu

2. Ni CCM ndio inanifanya niitangaze nchi yangu na mafanikio yake

3. Ni CCM ndio inayotangaza amani na mshikamano wa kweli.

4. Ni CCM ndio chaguo namba moja la mtanzania na Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wewe unaishia tu hapa kwenye kuandika lkn kwenye moyo wako unawachukia wapinzani utadhani hii nchi ni mali ya ccm pekee yenu.

Daima usimchukie mwenzako kwa chaguo la nafsi yake.
wewew utakuwa Dogo sana,
hujawahi kuwa NCCR ya akina Masumbuko Lamwai, Marando na akina Mrema
umeikuta CHADEMA basi ukajua ndio mwisho wa siasa mpaka unapigana
achana na siasa, walikuwepo kina Makamba na Baba yake sembuse January Makamba na Baba yake
vitu vinapita, Mtei kapita Bob na hata Mbowe
usije pigana tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UBAYA HAKUNA MBADALA WA CCM. SO WE KATA AU UKUBALI TANZANIA NI YA CCM HATA MIAKA 20 IJAYO.
OCTOBA FANYA MAAMUZI SAHIHI
 
Tatizo wewe unaishia tu hapa kwenye kuandika lkn kwenye moyo wako unawachukia wapinzani utadhani hii nchi ni mali ya ccm pekee yenu.
Daima usimchukie mwenzako kwa chaguo la nafsi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako Mmawia unaamini upinzani ni CHADEMA tu
ndio maana nimekutajia wapinzani lukuki wa wenye mwelekeo tofauti na hawako CHADEMA mfano Kinana, Makamba, Nape, Membe nk
sasa mpaka waingie CHADEMA ndio mridhike
nimemjibu mleta Mada vizuri kuwa usipigane hiyo ns siasa tu na ina mwisho
walikuwepo wababe km CUF walimchinja askari barabarani Mwembechai mwingine huko Pemba
sasa utalinganisha na haya maandamano ya Mkwajuni yaliyosababisha Akwilina
Mbona CHADEMA haipo tena kwenye chati? km uliona 9/Disemba Mwanza walipoomba poo na wapo Mahakamani ujue ndio FINITO
 
UBAYA HAKUNA MBADALA WA CCM. SO WE KATA AU UKUBALI TANZANIA NI YA CCM HATA MIAKA 20 IJAYO.
OCTOBA FANYA MAAMUZI SAHIHI
MKUU HILI NDILO JIBU
yeye Mmawia anajua mpaka Membe aua Makamba aende CDM akibakia na BOX lake Oktober 2020 hawamtaki, sio siasa hizo, wawaulize CUF waliingiza majambia na visu mpaka leo vina wekundu Bluu na Nyeupe nani kaweza?
 
Tatizo lako Mmawia unaamini upinzani ni CHADEMA tu
ndio maana nimekutajia wapinzani lukuki wa wenye mwelekeo tofauti na hawako CHADEMA mfano Kinana, Makamba, Nape, Membe nk
sasa mpaka waingie CHADEMA ndio mridhike
nimemjibu mleta Mada vizuri kuwa usipigane hiyo ns siasa tu na ina mwisho
walikuwepo wababe km CUF walimchinja askari barabarani Mwembechai mwingine huko Pemba
sasa utalinganisha na haya maandamano ya Mkwajuni yaliyosababisha Akwilina
Mbona CHADEMA haipo tena kwenye chati? km uliona 9/Disemba Mwanza walipoomba poo na wapo Mahakamani ujue ndio FINITO
Kwanza naomba urekebishe bandiko lako maana ukisoma bandiko langu sijataja specific cdm, lahasha bali nimesema kuwa mnawachukia sana wapinzani.

Pili nisahii hata ningeitaja cdm kama mfano hai wa wapinzani hapa Tanzania maana ndiyo chama kikuu cha upinzani na ili kuamini hivyo tazama jinsi viongozi wake wanavyo teseka kila kukicha mara wamekamtwa mara wamepigwa mabomu kwenye mikutano yao.

Tofautisha upinzani wa cdm na wa TLP au CUF ya Lipumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndiyo mnavyo jidhihirisha kuwa mnaichukia sana cdm na watu wake, hivyo msitegemee kamwe wana cdm tuwapende wana ccm hilo lipo wazi
MKUU HILI NDILO JIBU
yeye Mmawia anajua mpaka Membe aua Makamba aende CDM akibakia na BOX lake Oktober 2020 hawamtaki, sio siasa hizo, wawaulize CUF waliingiza majambia na visu mpaka leo vina wekundu Bluu na Nyeupe nani kaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najisikia fahari kuwa mwanaCCM katika kizazi hiki kwa sababu

1. Ni CCM ndio inayonifanya nijivunie utanzania wangu

2. Ni CCM ndio inanifanya niitangaze nchi yangu na mafanikio yake

3. Ni CCM ndio inayotangaza amani na mshikamano wa kweli.

4. Ni CCM ndio chaguo namba moja la mtanzania na Tanzania
Ukiwa CCM ni laana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom