Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
ipMkuu upo vizuri, hivi utaoa kweli wewe?ππ mkeo ajipange haswa
Kiukweli natamani sana kujua jinsia yako mkuu,I mean no maliceπππ
Watu naona wamelitenga sana hili jukwaa
Au tufanye jambo mkuu, wewe utakua unapika mimi nafuaππNitao sipend kufua tu π
ip
Iyo imeikaa poa sana ase πAu tufanye jambo mkuu, wewe utakua unapika mimi nafuaππ
πππIyo imeikaa poa sana ase π
π€£π€£π€£Au tufanye jambo mkuu, wewe utakua unapika mimi nafuaππ
HakikaTuna lifufua tu
Tajiri wewe hujui kupika?ππ€£π€£π€£
Siwezi, hata kuchemsha tangawizi tu hunilazimu nipate msaidizi. Nimpongeze tu kaka mkubwa Mwachiluwi kwa uwezo wake mkubwa wa kukorofisha.Tajiri wewe hujui kupika?π
π€£π€£π€£ weka maji jikoni yakichemka tia mchele, koroga korogaa.. halafu acha uwive. Hapo waliwako tayari kwa kuliwa na mboga yoyote ile.Hapa usiku huu nimepewa mtihani nipike wali hata sijui nianzie wapiπ
πππ wewe tutakufa njaa basi nilitaka tufanye jamboπSiwezi, hata kuchemsha tangawizi tu hunilazimu nipate msaidizi. Nimpongeze tu kaka mkubwa Mwachiluwi kwa uwezo wake mkubwa wa kukorofisha.
Shida huo muda wa kukaa jikonif aisee naona kazi sana sijui ndio asili ya uvivu wenyeweπ€£π€£π€£ weka maji jikoni yakichemka tia mchele, koroga korogaa.. halafu acha uwive. Hapo waliwako tayari kwa kuliwa na mboga yoyote ile.
πͺπͺπͺ
Poor Brain njoo huku ufundweHellow
Sikuiz nipo bise that why sileti thread
Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu
Baada ya hapo chemsha maji yako vizuri kisha osha mchele wakat maji yameanza kuchemka baada ya hapo chukua sufuria yako ambayo utapikia weka mafuta yakisha chemka mafuta weka mchele anza kukaanga vizuri baada ya hapo utaweka chumvi na maji kidogo
Then utaacha kwa mda ukiona maji yamesha kauka vizuri weka sasa hoho na karoti kwa juu kama hivi
View attachment 3334833
Baada ya hapo acha kama dakika kama 10 kisha ugeuze na uchanganye hoho na karoti kama hivi
View attachment 3334835Kisha funika tena ili wali wako ukauke vizuri chakula hiki unaweza kula na mboga yoyote uipendayo.
Karibuni