Tupike mchele kwa mapishi tofauti

Uncle zako walicheka mpk walikaa chini, wako duuu mama wee nooo ma! hihihi sijui niliwaza nini wallahi, walimaliza fyuuuuu!
 
Shawarma pia Nzuri sana the way wanavyoipeka inanoga kweli

niliwahi kuwaza shawarma mpk niwe na lile jiko, woooih nikawaza hivi nikichoma tu kawaida inakuwaje? then i n i g? FOR it, the results was whaaaao!
bye bye mpemba!
 
Uncle zako walicheka mpk walikaa chini, wako duuu mama wee nooo ma! hihihi sijui niliwaza nini wallahi, walimaliza fyuuuuu!

Hahaha...hata mimi ningecheka kwanza mtani...

Halafu baada ya hapo ningezishughulikia hizo 'pizza za wali...'
 
Wali.mambo yote hii ubachukua mchele kilo moja huuchambui unaweka nyama bila kuikatakilo.2 chimvi kijiko kikubwa pulipili 4 kitunguu 3 karoti 3nyanya6 mafuta kikombe kimoja unaweka kwenye sufuria na kupika kama wali wa kawaida na unaweka mkaa juu
 
Wapi bokoboko la mchele, wapi vitumbua, wapi chila, wapi mimina, wapi mkate wa kibati, wapi bumbwi, wapi vijoya, wapi chauro za wali? Tuwekeeni recipes zake jamani.

Cc snowhite, farkhina, @ Mrs kharusy, Zamiluni Zamiluni, MziziMkavu, amu na wapishi wote
 
Last edited by a moderator:

napenda vitu ambavyo havina mafuta je kuanda viazi hiv mafuta ni lazima?
 
Wali.mambo yote hii ubachukua mchele kilo moja huuchambui unaweka nyama bila kuikatakilo.2 chimvi kijiko kikubwa pulipili 4 kitunguu 3 karoti 3nyanya6 mafuta kikombe kimoja unaweka kwenye sufuria na kupika kama wali wa kawaida na unaweka mkaa juu

mmmmmmmmhhh???????
 
recipe pliiiiz
Hii kitu..

Lete vipande vya samak "king fish"
Mchele
Nyanya
Vitungu + garlic
bizari + chumvi
Tomato paste
viazi
mdalla sini
karafu + pilipili manga
girigirani
mafuta ya kupikia.....

Je wataka mapishi yake pia..?
 
Daa, kuna wanaume sijui wanajua kiasi gani wanafaidi?
Bless up
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…