Hili jukwaa nalipenda ila mara nyingi huwa nahisi sio level yangu mana mareciple yanayotajwa huku ni balaa mengine sijawahi hata kuyasikia
wananichokonoa waniache pesa zao tamu kila wiki nipo kjwenye kitchen party
Sometimes hayo ma-reciple tanayotajwaga huwa hata sijawahi yasikia na hata kuyaona ktk haya msaoko yetu ya kawaida (kkoo).
anakwama asogeiHiyo spidi ya kujifunza naogopa. Changanya mambo ya pwani na mbesa, hiyo mix jamaa hachomoi
Ahsante mkuu..Ntajaribu hiiBreadcrumbs ni chengachenga za mkate uliopondwa baada ya kukaushwa kwa kuokwa kidogo...
Baada ya kuoka/kuchemsha kiazi kwa viungo unavyopendelea, kiazi unakiviriga katika breadcrumbs and then unakivirika katika yai lililopondwa pondwa na baada ya hapo una deep fry...
Kwa waliowahi kutengeneza katlesi hii process watakuwa wanaijua...
Hahaa ndio maana tuliozoea kununua mahitaji buguruni na kariakoo inatupa ugumu kujifunza mapishi ya hum ndani aisee
mi vitu ninavotumia kupika nanunua ma gengeni, sinaga tu huo utaratibu wa kununua vitu kwenye malls, kwa hela ipi mumuu, usijiwekee uzio wa kujifunza! vyote nilivotaja vipo at ur very kariakoo na buguruni na dukani kwa mpemba wa viungo popote!Hahaa ndio maana tuliozoea kununua mahitaji buguruni na kariakoo inatupa ugumu kujifunza mapishi ya hum ndani aisee
MSETO WA (CHOROKO, KUNDE, DENGU) - chagua kimojawapo
MAHITAJI
-mchele (kwa kiasi chako)
-nataka uliyochagua (ratio iwe kg 1:1/2 nafaka
-nazi/maziwa fresh
-vitunguu maji
-tangawizi.
-chumvi
-maji
how
-pika kunde, maharage, DENGU, choroko viive
-andaa mchele
-twanga au kereza tangawizi
-vitunguu vikate pia, vile saumu viponde
-bandika jikoni sufuria la tui l? nazi (fata process za tui kama nilivoelekeza kwenye pishi l? mini biriani)
kama ni maziwa yachemshe pia
-kisha bandika mafuta jikoni kaanga vitunguu, saumu, kisha vitunguu maji, kisha tangawizi, kisha weka nafaka yako, geuza kama mara tatu kisha weka mchele uliokoshwa, geuza pamoja vichanganyike
-weka tui lililochemka(lile la chini) wengu lake liache kwanza
-kwa anayetumia maziwa pia ataweka kwa stage hii geuza kisha funika uive
-utaacha ukauke geuza mara moja, punguza moto
-utageuza tena, palia au weka kwenye oven
after 5 mins uko tayar,
-serve na salad of UR choice mi hupenda nda kuila na guacamole (parachichi lililopondwa likachanganywa na white vinegar na nyanya zilizokatwa cubes ndogo ndogo)
enjoy.
cc The Boss
nilikuwa na picha nikaflush simu, ila trust me! NI mtamu machoni, mdomoni, na pwani!! wataupendaNaomba picha za hilo pishi tafadhali, nilione mwonekano hafu na mie xmass nipike surprise for my family kama taswira ya hilo pishi likiwa zuri. Na je khs kunukia kupoje..!?
kuna siku nilitumia kiporo cha wali kuandaaa pizza, hehehe
kuna siku nilitumia kiporo cha wali kuandaaa pizza, hehehe
Hahaha...ulikuwa na mpango wa kupika bumunda na sio pizza...
Shemegi wabesaaa
Mtani weka dau!
sema suuuuu
Mtani we kiboko aisee...hahaha
Huo msosi naufananisha na msosi fulani wa kimexicana wanatumia vichapati halafu wanavivirika na kitu chochote hapo kati...
Kuna wengine wanaweka wali, parachichi, nyama, pilipili...lakini huwa vinakuwa vitamu hivyo
Mtani weka dau!
sema suuuuu