Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,238 Reaction score 169,964 Feb 20, 2025 #141 ERoni said: We pendana na wasukuma🤣🤣 Click to expand... Tukianza kula tunakula ugali mkubwa na tunaweka ugali mdogo ndio mboga.....hadi raha
ERoni said: We pendana na wasukuma🤣🤣 Click to expand... Tukianza kula tunakula ugali mkubwa na tunaweka ugali mdogo ndio mboga.....hadi raha
G guest-1790917349 Guest Feb 20, 2025 #142 Half american said: We jifiche tu ipo siku tutakutana ugweno Click to expand... 😂😂😂😂
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,248 Reaction score 114,456 Feb 21, 2025 #143 Tayana-wog said: 😂😂😂😂 Click to expand... Hujambo, ulipotea
G guest-1790917349 Guest Feb 21, 2025 #144 Half american said: Hujambo, ulipotea Click to expand... Niko poa mkuu Nipo sema tunapishana tu kwenye majukwaa
Half american said: Hujambo, ulipotea Click to expand... Niko poa mkuu Nipo sema tunapishana tu kwenye majukwaa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,248 Reaction score 114,456 Feb 21, 2025 #145 Tayana-wog said: Niko poa mkuu Nipo sema tunapishana tu kwenye majukwaa Click to expand... Sawa mkuu ni jambo jema kama uko poa.
Tayana-wog said: Niko poa mkuu Nipo sema tunapishana tu kwenye majukwaa Click to expand... Sawa mkuu ni jambo jema kama uko poa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,942 Reaction score 1,252,121 Feb 23, 2025 #146 Yummy
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,545 Reaction score 42,869 Mar 31, 2025 #147 Uzi wetu wapare
G Gusa achia twende kwao JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 916 Reaction score 1,031 Apr 14, 2025 #148 ephen_ said: Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande. Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya! Click to expand... Naomba ufafanuzi zaidi katika hili Ndugu yangu...kama kuna Elimu Dunia hapa
ephen_ said: Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande. Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya! Click to expand... Naomba ufafanuzi zaidi katika hili Ndugu yangu...kama kuna Elimu Dunia hapa
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,199 Reaction score 3,925 Jun 3, 2025 #149 Kazi inabaki kujamba tu, yaani haya madude utenge na bajeti ya magnesium