Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
Sina kabisaHauna kitambi? Unatumia sana mafuta
Hakukua na haja ya kukaanga hivyo viungo wakatu utaweka nazi.
Makande mazuri inapendeza sana kula na familiaUnanikumbusha My Mom anapika kande tamu yule mwanamke, nmalize hii project nlirudi home ata one week nkafaidi mapishi ya mom yangu
NimeyamissHope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa
Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu
View attachment 3241887
Nika andaa karoti hoho na kitunguu maji View attachment 3241888baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu inayo tosha nilijua makande kidogo kumbe mengi bhna nikaweka mafuta vizur baada ya mafuta kupata moto nikaweka kitunguu
View attachment 3241890
Baada ya hapo nikaikaanga karoti vizuri ili nipate ile rangi ta karoti kande zangu zisiwe nyeupe
View attachment 3241892
Baada ya kuona karoti zimekuwa kama vile nataka nikaweka hoho
View attachment 3241893Then nikaja kuweka sasa makande yangu yalikuwa mengi sikutegemea ase
View attachment 3241894
Baada ya hapo nikaweka maji kidogo ilo nipate mchunzi nikaweka na chumvi kidogo kwenye chumvi kuwa makini weka kidogo kidogo unaweza ukaweka nyingi mwisho wa siku chakula ulikuwa na hamu nacho ukakichukia tena hamu ikakatika tu kisa chumvi
View attachment 3241896
Baada ya hapo nikachukua nazi yangu nikaweka yote huwa natumia mara tatu ila leo nimeweka yote kutokana na uwingi wa chakula
View attachment 3241898
Baada ya kuweka nazi nikaacha itokete kidogo vizuri nikaipua
View attachment 3241901
Hapo zingine nilikuwa nimepunguza nimeweka kweye poti. Mlo uhu unaweza ukapika jumamos kwa wewe bachela kama siku iyo unafanya zako usafi unapika vizuri tu usiwe na haraka
View attachment 3241905
Makande mengi sana naona kesho nitabeba nipoenda kwenywe maangaiko nikale na wenzangu
Ndio maana hujui kupika si unaona sasa hoja zako ungepika wewe hizo kande walahi mtu angejua ni michembe!Hauna kitambi? Unatumia sana mafuta
Hakukua na haja ya kukaanga hivyo viungo wakatu utaweka nazi.
Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande.Ndio maana hujui kupika si unaona sasa hoja zako ungepika wewe hizo kande walahi mtu angejua ni michembe!
Hapo sasa upate na orange juice ya baridi unaweza ukatafuna vidole!Hope mpo
Vyedi kabisa
Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa
Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu
View attachment 3241887
Nika andaa karoti hoho na kitunguu maji View attachment 3241888baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu inayo tosha nilijua makande kidogo kumbe mengi bhna nikaweka mafuta vizur baada ya mafuta kupata moto nikaweka kitunguu
View attachment 3241890
Baada ya hapo nikaikaanga karoti vizuri ili nipate ile rangi ta karoti kande zangu zisiwe nyeupe
View attachment 3241892
Baada ya kuona karoti zimekuwa kama vile nataka nikaweka hoho
View attachment 3241893Then nikaja kuweka sasa makande yangu yalikuwa mengi sikutegemea ase
View attachment 3241894
Baada ya hapo nikaweka maji kidogo ilo nipate mchunzi nikaweka na chumvi kidogo kwenye chumvi kuwa makini weka kidogo kidogo unaweza ukaweka nyingi mwisho wa siku chakula ulikuwa na hamu nacho ukakichukia tena hamu ikakatika tu kisa chumvi
View attachment 3241896
Baada ya hapo nikachukua nazi yangu nikaweka yote huwa natumia mara tatu ila leo nimeweka yote kutokana na uwingi wa chakula
View attachment 3241898
Baada ya kuweka nazi nikaacha itokete kidogo vizuri nikaipua
View attachment 3241901
Hapo zingine nilikuwa nimepunguza nimeweka kweye poti. Mlo uhu unaweza ukapika jumamos kwa wewe bachela kama siku iyo unafanya zako usafi unapika vizuri tu usiwe na haraka
View attachment 3241905
Makande mengi sana naona kesho nitabeba nipoenda kwenywe maangaiko nikale na wenzangu
Tusiandikie mate angali karamu ipo uzuri mdomo ninano!, lini unapika nije nile..?Katika chakula ambacho napatia kupika ni makande.
Hakuna haja ya kutia mafuta wakati utatia nazi.. Hii ni kwa afya!
GoodyNimeyamiss
Kesho napika
Navuta muda nisage juice ya appleHapo sasa upate na orange juice ya baridi unaweza ukatafuna vidole!
Leo saa 8 usikuTusiandikie mate angali karamu ipo uzuri mdomo ninano!, lini unapika nije nile..?
πUpo njema sana mkuu, yaani umetisha sana upande huo...π
Usije kimbia πLeo saa 8 usiku
Matunda mengine bhana hata hayapendezi kutengenezewa juice..π€£Navuta muda nisage juice ya apple
Kweli akufukuzae hakuambii toka!..πLeo saa 8 usiku
Umekariri! Juice ya tikiti/ nanasi/ apple ni tamu kuliko ya embe.Matunda mengine bhana hata hayapendezi kutengenezewa juice..π€£