Wale ambao tuko neutral, tupige kura ya hasira. Kitendo cha baadhi ya vyama vya siasa kufanyiwa hujuma za kila namna, kinatunyima fursa sisi wapiga kura kufuatilia kampeni na sera za kila chama. Sasa tutapiga kura ya hasira na huruma kwa kuwapa wanaoonewa. Mwenye nguvu apate tu za wenye nguvu wenzake