Tupia picha za mida ya wanga

kichakaa man

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
5,497
Reaction score
5,198
Naona tuanzishe hii post ya kupost picha au matukio yoyote ya wanga yaani mida ya wanga tupia picha yoyote au tukio lolote.

Mimi naanza na hii kwa leo.
 
Ayaa, ungesema mapema. Nilikuwa the Great Park Tabata, mida ya wanga hii, watu wamekula ngano, wamewaka kinoma...
 
Reactions: SDG
Huku ni kuharibiana usingizi aiseeee.....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Dah sijui hata kwanini nimefungua huu uzi, kunapicha imenitisha kidogo nitupe simu.
 
Reactions: SDG
Sio lazima kugugo
 

Attachments

  • IMG_20170519_231903.jpg
    9.8 KB · Views: 119
Horror movies zimenilemaza na zenyewe siku hizi hazinitishi, picha mlizoweka naona mnacheza tu makida makida, hazitishi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…