shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 965
- 3,046
Aisee safi sana sijacheka tangu asubuhi
Hahahaha,mzee wa kubetiKajuju
Hao yanga!wako vizuri .
Chama Cha Mashangingi.
Kama unazotuma mkuuMbona sioni picha za uchi!?!!
Ni yanga, we wazoom vizuri utanielewa!SIO YANGA.
Amakhooosiii! Bayeeeeeeteee!
Rangi ya njano bhana, wakapimwe!
Njano wote upstairs hawako vizuri kabisa.[emoji23]Rangi ya njano bhana, wakapimwe!
Duh, ngoja tumtafute yule pacha wake wa upande wa pili Muro.
Aisee hatariii
Hapo lazima kilimtoka kigesi japo kwa muhtasari tu