tupia baadhi ya maneno ya nyimbo za zamani.(lyrics)a.k.a ''zilipendwa''

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
''afrooo afroo mamaa oo mtoto wa kisagane mamaa
Salamuu uu zangu nakutumia popote ulipo zipokee
Wasalimie ndugu na wazazi wako mamaa ee
Popote walipo bibiii''




''Kolo kolola mama kolola kolola x2
Embe dodo embe dodo limelala mchanganii...''



''thamani ya mke ni mavazii kula vizuri kulala vizuri
Na sheria kudumisha ndoa na watoto wakooo AMIGOO...''


KUKOREKTI KUNARUHUSIWA...
 
Mimi Kuna Huu:

...msichanaa wa suraa nzuri,....kitu gani kinakufanya usiolewe.
Elimu unayo ya kutosha,....hata ng'ambo ukaenda ukarudi.
Ona watoto wa nyuma yako,wameolewa wamekuacha ukihangaika...

Yaani nikiusikia huu mwimbo,nafreeze ghafla,cjui kwa nini.
 
Nidhamu ya kazi ni msingi wa mafanikio bora kazini, viongozi na wafanyakazi lazima wote muwe na nidhamu, migogoro na migongano makazini ni ukosefu wa nidhamu
 
Mimi Kuna Huu:

...msichanaa wa suraa nzuri,....kitu gani kinakufanya usiolewe.
Elimu unayo ya kutosha,....hata ng'ambo ukaenda ukarudi.
Ona watoto wa nyuma yako,wameolewa wamekuacha ukihangaika...

Yaani nikiusikia huu mwimbo,nafreeze ghafla,cjui kwa nini.

Unajisema mwenyeweee hahaha
 
Chukua huu unaitwa Mawazo.Ulikuwa maarufu miaka ya 1980..

Nilitembea jijini daresalama nikakutana na binti mmoja,
nikamweleza ninavyompenda na yeye akasema amekubali,
Kisha yake akanipa ahadi niende kwake nikamtembelee.

Kesho yake niliamka mapema ili niwahi ile ahadi
kwani asije akanielewa, pengine nina ahadi ya kiswahili.

Nilipofika nyumbani kwake eeh,
Nikayakuta makundi ya watu jamani,
Wakaniambia et amefariki usiku wa jana kuamkia leo, mawazooo,
mawazooo jamani...
 
Oooh solembaaaaaa!

Nitakuwa sifiki nyumbani kwako,aibu niliyo ipata nikubwa sana,...............

Ungenieleza ukweli solemba kuliko kunidanya ooohh
nimeitimiza ahadi ambayo si ya kweli................

Huu wimbo naupenda sana.
 
tatanta talalala tan talan talaa''

Upo huu hapa
''Kweli Muusa ulivyoniwowa
Sura yaaanguu haikua na alama hata mojaa,
Nilinooona kama ngohima ya kilindeee''


''naleta mashita kwako baba parokoox2 mimi na mama ya watoto nyumbani kivumbe na jasho,
nyumbani hapakaliki hapalaliki,
Kisa na mkasa parokoo sieeelewii ee!!??''
 
mungu ibariki afrika
Wabariki viongozi wake
Heshima umoja na amani
Hizi ni ngao zetu afrika na watu wake
Ibariki, afrika, ibariki, afrika
Tubariki watoto wa aafrika...
 
mungu ibariki afrika
Wabariki viongozi wake
Heshima umoja na amani
Hizi ni ngao zetu afrika na watu wake
Ibariki, afrika, ibariki, afrika
Tubariki watoto wa aafrika...

Kwa hali ya sasa nahisi hii nyimbo inaanza kuingia kwenye kundi husika hapo juu
 
by mushroom band. . . .
Mama we, mpenzi nitakufa
sikiza, natega masikio
tabia yako, si nzuri hata wajua wewee
nimechoka, hebu jaribu tena
nashindwa, mpenzi nakusihi tafadhali. . . .
umfikie laazizi wangu popote alipo!!!!!
 
ngoja nitupie hizi hapa
  1. idara yetu ya uhamiaji inalo jukumu kubwa sana.... kuwakaribisha wageni na kulinda mipaka yetu... idara yetu ya uhamianji inalo jukumu kubwa sana
  2. tttcl.... simu kwa maendeleo
  3. general tyre toka arusha ... tanzania
 
tena jamani naomba mnikumbushe huu wimbo aliimba nani:

AM GOING BACK TO KENYA
AM GOING AFRICA
MY HOME IS AFRICA

BYE BYE AMERICA
AM GOING AFRICA
MY HOME IS AFRICA
 
1. embe dodo embe dodo....
limelala chit chat (.....) kabuka....
na mazoea liwe langu la milele..
................................

2. Itawezekanaje kufanya mapenzi
pasipo na bikiraaa....
heri niwe pekee yanguu mamaaa
heri niwe peke yanguuuuu
......................................


sauti inakwama kwama sijastua.... lete tundovu baridi kwanza tusafishe koo
 
wanawake wazuri wazuri wameoolewa/ yamebaki manung'aembe yanahangaika!/... Nikumbusheni hao ni kina nani watu wapi sijui.
 
by mushroom band. . . .
Mama we, mpenzi nitakufa
sikiza, natega masikio
tabia yako, si nzuri hata wajua wewee
nimechoka, hebu jaribu tena
nashindwa, mpenzi nakusihi tafadhali. . . .
umfikie laazizi wangu popote alipo!!!!!
 
Back
Top Bottom