Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Mmeua Vijana wasio na hatia, mmeua mamia ya Vijana waliokatishwa tamaa na utawala wa CCM. Maiti zao mmezitupa, Ombi langu, mturuhusu basi tukawazike, hili msitunyime. Moyo wangu ni mzito sana sana