Tupendane jamani

hurrem_sultana

Senior Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
135
Reaction score
363
"SIKU NIKIFA" Utatoa machozi lakin sitayaona, Utaniletea maua lakin sitayapokea, Utanisifia sana lakin sitakusikia, Utanisamehe makosa yng lakin sitajua, Utanimiss sana lakini sitafahamu, na Utauzunika sana lakini sitokuona..

Tupendane sasa chuki sio wapendwa
 
Nini kimekusibu ndugu......
 
Umejitaid
 
ulichoongea kina ukweli ndani ake...
 
😢😢😢
 
[emoji257][emoji257][emoji26][emoji26]
Nakumiss..alafu we pini ujue jf hakuna pini kama wewe

Huyaone sasa kabla haujafa..lawama sitaki kabisa
 
Ujumbe huu ukiutafakali ni mzito sana.
 
hahah watu wana comments hatari...yani mada ina message nzito ila hizo comments nimeishia kucheka tu..ila sijasumbua majirani hawajaskia japo usiku sana saa hii
 
Nikituma hela pia hutaipata?
Acha utani wewe.
 
Daah pole kwa unayopitia ila usije commit suicide mkuu Ugali bado mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…