msakhara JF-Expert Member Joined May 26, 2019 Posts 299 Reaction score 409 Jul 3, 2021 #1 Habari wakuu... Tupeane experience, hivi samsung s9 bado ni chaguo zuri kununua mwaka huu 2021 na mtanzania wa kawaida, Kufwatana na sifa zake... Ama ishapitwa na wakati? Na kwanini?
Habari wakuu... Tupeane experience, hivi samsung s9 bado ni chaguo zuri kununua mwaka huu 2021 na mtanzania wa kawaida, Kufwatana na sifa zake... Ama ishapitwa na wakati? Na kwanini?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,556 Reaction score 51,890 Jul 3, 2021 #2 6.2"1440x2960 pixels 12MP2160p 6GB RAMExynos 9810 3500mAhLi-Ion release dete 2018 Mimi huko kote sina shida. Shida inaanzia hapo kwenye betri nahisi ni utopolo
6.2"1440x2960 pixels 12MP2160p 6GB RAMExynos 9810 3500mAhLi-Ion release dete 2018 Mimi huko kote sina shida. Shida inaanzia hapo kwenye betri nahisi ni utopolo
msakhara JF-Expert Member Joined May 26, 2019 Posts 299 Reaction score 409 Jul 3, 2021 Thread starter #3 Betri inakua kama pasi ya umeme au sio
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,657 Reaction score 197,311 Jul 3, 2021 #4 Fanya kile kitu roho imependa...
msakhara JF-Expert Member Joined May 26, 2019 Posts 299 Reaction score 409 Jul 3, 2021 Thread starter #5 Unaeza fanya kitu roho inapenda out of ignorance halaf ukaanza kujitukana [emoji23].... Knowledge is power mkuu
Unaeza fanya kitu roho inapenda out of ignorance halaf ukaanza kujitukana [emoji23].... Knowledge is power mkuu
beka the boy Senior Member Joined Nov 6, 2018 Posts 167 Reaction score 97 Jul 4, 2021 #6 Mimi niko nayo hapa, naona bado inalipa kununua,,nikicheki camera yake,speed yake,perfomance yake kwa ujumla,muonekano bado ni good kwa kweli!!
Mimi niko nayo hapa, naona bado inalipa kununua,,nikicheki camera yake,speed yake,perfomance yake kwa ujumla,muonekano bado ni good kwa kweli!!
Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,406 Reaction score 1,880 Jul 4, 2021 #7 S9 ni bidhaa salama kwa mtumiaji, labda ukutane na version isiyo ya ukanda wa huku kuna time network huwa inasumbua.
S9 ni bidhaa salama kwa mtumiaji, labda ukutane na version isiyo ya ukanda wa huku kuna time network huwa inasumbua.
Darren2019 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2019 Posts 1,111 Reaction score 2,413 Jul 4, 2021 #8 Mwaka 2021 siwezi kununua simu ya 2018 kwa kasi hii ya teknolojia.
Ngai Moko JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 1,406 Reaction score 1,880 Jul 5, 2021 #9 Darren2019 said: Mwaka 2021 siwezi kununua simu ya 2018 kwa kasi hii ya teknolojia. Click to expand... Nitajie simu ya mwaka huu level ya S9 ambayo imeiacha S9 kwa teknolojia,
Darren2019 said: Mwaka 2021 siwezi kununua simu ya 2018 kwa kasi hii ya teknolojia. Click to expand... Nitajie simu ya mwaka huu level ya S9 ambayo imeiacha S9 kwa teknolojia,